hata sijui sababu kwa kweli..
nadhani picture inatakiwa ionyeshe uko kwenye "mood" gani..
mfano:- lia, cheka, nuna, tabasamu, kasirika etc...
lakini sijui kwa nini kila nipigapo picha saa nyingine hata sina hamu lakini
anayepiga picha ataniambia tabasamu au cheka basi, onyesha meno, sijui say monkeys etc.:angry: