Why is Jesus White? Muhammad Ali

Israel, Iran, Kurdistan,Thailand, Andaman islands, Philippines,Indonesia na Australia zina watu weusi ambao walibakia huko huku wenzao wakikimbia vita dhidi ya wazungu.
 
Wacha wee!! Naona Waafrika nao wameanza kuandika historia yao.
Huko tuendako Uganda watajiandikia historia yao na vita ya Uganda wataielezea dunia jinsi walivyoipiga Tanzania hadi wakaingia Dar es salaam. Huku Malawi na dunia wakitambua kuwa mpaka kati ya Tanzania na Malawi upo ufukweni mwa like ziwa upande wa Tanzania, Tanzania yenyewe inaamini na kufundisha kuwa mpaka wa nchi hizo upo katikati ya lile ziwa.
Huku Tanzania wakiliita ziwa Nyasa, Malawi na dunia yote wanaliita Ziwa Malawi.
**** wanaharakati/wapiganaji wa kidini, hawa kuna wanaowaita Magaidi , lakini kundini lingine linawaita mashahidi.
It's a free world, the world of multiple choices and comoosing essays. Amini utakacho, ishi uwezavyo.
 
Okechuku Okechuku [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanifanya niamini sasa kuwa JF it's where the magic lives. Hata mimi sifahamu atafikia wapi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Atazaliwa upya!!! Na atakuwa na familia mpya pia... Tofauti na mama yake unayemjua ambaye ni mariam!
 

ndg, naona unashabikia uzushi. Unaongelea Afrika ambayo haikuwa na Mipaka, kisha unataja nchi zilizopatikana na wazushi.
Sifahamu una lengo gani? Jaribu kujadili hoja ili tukuelewe. Hatuhitaji historia yetu iandikwe na kiumbe kilichokuja Jana.

FIKIRI KWANZA
 
Conscious Speaking, respect!
 
Ushabiki upo wapi hapo na uzushi ni upi?
 
sheikh...wewe umekuja lini ustaadh?

Hakuna mtu ndg yangu alie na rekodi ya mtu mweusi lini alikuwapo duniani. zinazotajwa kwa tarakimu ni hisia ama makisio tuu. Kila siku wanagundua mafuvu yetu. Wakipima kwa C 1+4=5, na sasa ni C1+6=7, Mliokariri Atomic structure hapa hamtaelewa kitu, bado wanakutana na fuvu la mtu mweusi lililopiku la mwanzo kwa umiaka wa uwepo wa hilo fuvu kwa vipimo hivyo.

Ukweli ni kwamba EVER SINCE LIFE EXISTED, WE EXISTED AND WE WERE THERE ALREADY WITH IT AND WITHIN IT. Now, HOW COMES THE JOURNEY CAME LATELY, watuandikie stories za uwepo wetu. Hatujaanza na Slavery wala Colonilization. Wao kila kukicha wanazunguka Ulimwengu, kutafuta stori zetu na bado hawajafahamu chanzo cha uwepo wetu.

"WE ARE DIVINE INTERPLANETARY (COSMIC) BEINGS"
 
Ushabiki upo wapi hapo na uzushi ni upi?

Ndg, uwepo wetu haukuanza na utumwa, ustawi wetu haukuanza na Ukoloni, Dunia yote tulishaitawala na kudesign ustaarabu wote. Iweje leo ujiambie kuwa huna haki yakujiandikia story ya uwepo wako na kuonyesha mchango wako
wa kuratibu na kuweka misingi yote ya ustaarabu wa dunia hii?

Unadhani nani atasimama kuukumbusha ulimwengu juu ya ubora na umuhimu wa uwepo wako? Mzungu kamwe hawezi kukusifia hadharani, maana lengo lake kukuona wewe unamnyenyekea yeyey kwamba wewe ni dhaifu kwake. Hivyo atafanya lolote kuuhadaa ulimwengu kwa vyombo vyake vya habari, mitaala yake dhaifu, ili uwe chini yake.

Mtu asie fahamu asili yake , Mila zake, Desturi yake na Utamaduni wake ni sawa na Mti bila Mizizi "Marcus Garvey"
 
Man man unbelievable! Ali is very articulate and has huge sense of humour.
 
Ili hali waliambiwa msioe wala kuoza kwa mataifa. WE MADE THAT MISTAKE. THATS WHY WE HAVE TO PAY OUR DEEDS.

Hivi walioambiwa wasioe ama kuoza kwa mataifa walikuwa ni waafrica au waisrael?
 
Ili hali waliambiwa msioe wala kuoza kwa mataifa. WE MADE THAT MISTAKE. THATS WHY WE HAVE TO PAY OUR DEEDS.

Hivi walioambiwa wasioe ama kuoza kwa mataifa walikuwa ni waafrica au waisrael?

NDG, KUNA ELIMU NA MAARIFA MAKUBWA SANA NJE YA DARASA. KWAVILE MITAALA IMEWEKWA KIMKAKATI KWA LENGO LA KUWAPROGRAM WATU WASIWEZE KUFIKIRI NJE YA WANACHOKIELEWA KUTOKA KWENYE MITAALA.

HII ELIMU NJE YA MITAALA KUNA WATU WALIOBAHATIKA KUTOKA TUMBONI MWA MAMA ZAO. KWAMBA TANGU WAZALIWE WAMEKUWA WA DADISI SANA. KWA VILE MAKER-UP ZA DNA ZAO HUCHOCHEA UFAHAMU WA MAMBO MENGI SANA.

SASA NAPENDA NIKUJUZE HIVI: ISRAEL NI JINA LA YAKOBO. WATOTO WAKE 12 WALIKUJA KUITWA WAANA WA ISRAEL. HAWA WATOTO WAKAWA NI CHANZO ZA MAKABILA 12 YA ISRAEL (YAKOBO).

HAYA MAKABILA YALIJENGA FALME 2 PALE KANAANI. MAJANGA MENGI SANA YA KIVITA YALITOKEA KWA MDA TOFAUTITOFAUTI WAKAWA WANAKIMBIA MAENEO HAYO NA KUJIUNGA NA MAKABILA YA NDUGU ZAO WALIOKO AFRIKA.

VITA AMBAYO ILIWAPUKUTISHA SANA HAYA MAKABILA NI ILE YA WARUMI MWAKA 70 AD. AMBAYO YERUSALEM ILIWAKA MOTO. WENGI WAKAKIMBILIA AFRIKA. HIVYO NI NGUMU KUTENGANISHA WANA WA ISRAEL NA BANTUS.

USHUHUDA: UKISOMA ZABURI YA 83:3-28 INAELEZA WAZI KWANINI WAZUNGU WALIKUTANA BERLIN KUGAWANA MAENEO YA AFRIKA.

AFRIKA ILIKUUWA NA AINA YA JAMII 3 TU. JAMII YA KWANZA NI "WAFUGAJI", JAMII YA PILI NI "WAKULIMA" (BANTU) NA YA TATU NI "WAWINDAJI NA WAKUSANYAJI".
UKIDADISI NANI ALIEKAATHIRIKA NA UTUMWA NI WAKULIMA (BANTU from The word Ban-thuel = HOUSE OF ELOHIM). HIVYO EDOMITES (WAZUNGU NA WAARABU FAKE) WALIJUA KUWA BANTU PEOPLE ARE TRUE ISRAELITES. HIVYO WAKAKAA KWENYE MABARAZA WAKAJADILIANA NA KUSEMEZANA TWENDE TUKAIVUNJE NYUMBA YA MUNGU........ZABURI YA 83:3-21.

UKISOMA MATHAYO 24:15-21, YESU ANAELEZEA NINI KITAKACHOTOKEA KATIKA NCHI HIO YA KANAANI. NA ANAWAELEZA KUWA WALE WALIOKO YUDEA WAKIMBILIE MILIMANI (AFRIKA). NA WALE WALIOPO JUU YA DARI NA WASISHUKE. NA WALIPO MASHAMBANI WASIRUDI NYUMBANI NA WAKIMBIE. MAKABILA YOTE YAKATOKOMEZWA NA KUTOKOMEA AFRIKA.

HIVYO WANA WA ISRAEL NI BANTU SPEAKING PEOPLE. NA ILI KUJUA SISI NI HAOHAO WAISRAELI, HAOHAO MOORS, HAOHAO WA NUBI. HAOHAO NI KHAMIANS (KHEMETIC PEOPLE).

PIA KATIKA LUGHA ZA KIBANTU KUNA CODES ZA LUGHA YA KIEBRANIA. KAMA NENO BEN KONGO, ZAMBIS ( ZAMBIA, ZIMBA-BWE, ZA-NZIBAR, MO-ZAMBI-KI) YAHOUNDE- YAHUDI, SOUDAN-YUDAH, KIGALI, BUGANDA, UGANDA, KONGO, MEROE- MERU- MURO-PE, IBO-HEBREW, ASHANTI/ AHSANTE- ASHAN NI SMOKE-BURNING. AND MANY MORE.

WALIOPO SASA KATIKA ENEO LA KANAANI SII WAISRAEL NI WAISRAELIS ( FAKE, IMPOSTERS ISRAELITES) SOMA UFUNUO WA YOHANA. 2:9 OR 3:9. YESU ANAWATAMBULISHA KAMA NI SINAGOGI LA SHETANI.

INAENDELEA........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…