Why I think he resonates with the silent majority


This couldn’t be truer, Nyani Ngabu! However, because the minority dominates the social media, an erroneous conclusion can and does easily and myopically get drawn that the Tanzanian majority doesn’t stand by CCM, in general, and by Magufuli, in particular. Compounding this myopic mindset are conspiracy theories that all election victories by CCM stem from stolen elections!
 
Mwenzako Shaka ameolewa Mombasa kwa sababu ya tabia hizi za kusifia hata visivyo na sifa ya kusifia. Sasa nyie UVCCM wote mkiolewa nani atawaongoza wale Zombiez wa Lumumba???
 
Sijui ni kwa nini lakini tolea October 2015 mpaka leo najikuta napenda sana kusikiliza wimbo mmoja wa Maiko Zulu uitwao "Mad President"!
 
Wait til the people you love found dead/kidnapped by the Watu wasiojulikana
 
Sizonje aliiba kwenye ile mv dar
Akaiba nyumba za serikali
Akaingiza hasara nchi mpk ndege zikashikwa
Akapiga new passport
Akapiga uwanja chato
Akapiga ununuzi ndege
The list goes on........
 
Ukishaona watetezi wa mtu ni Le mutuz na yule aliyekuwa msemaji wa Yanga. Jua huyo jamaa ana big problem
 
The worrying story about Magufuli's social-media advocates, is that they are always trying to crack open a peanut with a sledgehammer. They always think they possess the most intellect but in reality they are people with empty-bellied mind and harebrained.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…