vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,638
Kwa sababu meek anakula mtoto mtamu nick.Habari wakuu,
Mimi mgeni humu naombeni kuuliza swali...
Jana 50 cent alikuwa akipost memes kuhusu meek. Na ukipitia comments utaona wengi wakishangilia na kufurahia. Nitaweka attachments ya hizo post.
Pia kuna politician mmoja naye huwa mara kwa mara akimponda meek...
Pia beef ya meek na Drake watu wengi sana walikuwa upande wa Drake. Wakitengeneza memes za meek na kupost...
Na wasanii wengine kibao wamekuwa upande wa Drake wakiponda meek....
Swali langu hivi nini chanzo cha yote haya?
Mbona meek anaonekana kufuata nyayo za King Kiba......Okay okay, I kid...I kid. . .
But seriously why people hate meek so much?
NB.
1. 50 cent is one hell of a funny guy
Kwa sababu meek anakula mtoto mtamu nick.
Hahahaha wewe Nifah unaamini Kiba ni zaidi ya Mond ndio maana unalialia kila mara wakimponda Kiba. Ukweli ni kwamba we tulia tu isikuume na usilazimishe kila mtu aamini utakacho.Nilitaka nikuambie kitu cha maana sana lakini umenichefua ulivyomuingiza King Kiba kwenye hili suala.
Nilitaka nikuambie kitu cha maana sana lakini umenichefua ulivyomuingiza King Kiba kwenye hili suala.
BTW Kiba anaimba vizuri, anajua kutunga, ana sauti nzuri, kaanza game kitambo kuliko Mond. Ila TATIZO NYOTA!!!!
Hahahahaaa khaaaa!Meek anasafiria nyota ya minaj tu kama ilivyokuwa......kwa wema na akapata umaarufu
inaonekana hujui vizuri umaarufu wa....ulipoanzia wewe!Meek anasafiria nyota ya minaj tu kama ilivyokuwa......kwa wema na akapata umaarufu
Ha ha ha nifah bana kasemwa diamond umecheeeeka hadi imekupunguzia maumivu ya kibaHahahahaaa khaaaa!
Nasubiri mapovu hapa maana hili litawachoma wengi.
Ha ha ha nifah bana kasemwa diamond umecheeeeka hadi imekupunguzia maiming ya kiba
Haya mi sijui umbea wa majuu who is meek mill
Oooh sasa kisa cha kuchukiwa nini niniNi mwanahipop anammiliki Nick minaj
Oooh sasa kisa cha kuchukiwa nini nini
Ha ha ha ha ha ha ha king wako mxyuuuuhapo hata mi sielewii SI unajua na wao huko waswahili Tu sema wanabonga kienglish,ushaambiwa Ana nyota ya king wenu k
Ha ha ha ha ha ha ha king wako mxyuuuu