Mimi nili quote hii comment yako na ndio maana nikatuma picha hizo za suspension system ya locomotive.Train has no spring because there is no bouncing
Suspension is the system of tires, tire air, springs, shock absorbers and linkages that connects a vehicle to its wheels and allows relative motion between the twoWakuu mmesahau km tyres nazo ni sehemu ya suspension?
Kama ni hivyo basi tractor na grader both have suspension
Mkuu by gari unamaanisha gari lolote? hata Altezza Mark X, Merc benz sedans? Au unamaanisha magari kama ya kabila moja yale mashindilia, bulldozer etc?Hakuna gari inayoweza kukimbizana na greda hata siku moja## I have operated gredar For 3 yrs I know each and everything about that machine
Nawafahamu pia yule Mangi wa RollerZidadu unamfaham? Or gada, mayunga, jeli
Kula pombe upate afya.Ndugu hebu nenda kasome vizuri kuhusu locomotive suspension system ikiwezekana nenda uka google ndipo uje kuongea vizuri. Those coils are not there for AC magnetic field or for generation of electic current. Ninakifahamu kitu nilichokipost.
Ni kimoja wapo au vyote mkuuSuspension is the system of tires, tire air, springs, shock absorbers and linkages that connects a vehicle to its wheels and allows relative motion between the two
(Inamaanisha Hivyo vitu vilivyotajwa visipokuwepo sio suspension systems)
Sio kila mtu anakunya pombe.Kula pombe upate afya.
Umeninukuu vibaya,ondoa mawazo ya chooni.Sio kila mtu anakunya pombe.
Dereva wa gari anaitwa dereva tu. Wa Earth moving machine anaitwa Operator. Hiyo tofauti ya gari na Katapilla. Hata lesen zao ni daraja tofautiNmekwambia semi sabab swal kako liliulizia magari!!
Greda sio gari sio? We ni operator? Vp unashidwa kujua kitu kdogo kama icho?
What I meant is that. Sio kila mtu anakunywa pombe.Umeninukuu vibaya,ondoa mawazo ya chooni.
Hii mada inanihusu, acha niendelee kuipitiaNdio mkuu znakimbia mfano pit iko mbal kdg Af haya ma machine yapo tofaut mengine yanakimbia mengine hayakimbii ila
Wheel loder inakimbia Sana Af greda pia
Ila diger /excavator you halkimbii kabisa an
Mkuu tairi ya kati ni kubwa kuliko zote lazima ijazwa pounds nyingiSikubaliani na hayo maelezo SABABU mfumo wa suspension unaanzia kwenye tyre
mfno tractor suspension yake inapatkana ktk tyre la Kati je ushawah kujiuliza kwann tairi la Kati la tractor lnajazwa 15psi? na sio 28au30psi kwenye magar ya kawaida?
Kwa wastani greda vinashuka vingapi kama chaka si la mchina.Kwenye migodi ya madini na ujenzi wa barabara nimefanya sana machine yangu ni greda ila kwa dharura dump
Hapo nimekusoma mkuu shukran sanaWhat I meant is that. Sio kila mtu anakunywa pombe.