Why, earth moving machine has no suspension systems

The Earth moving machines,they are part of the Earth,Hence the Earth do not need Suspension.
Ni kama treni na meli
 
Suspenshen zinafanya chombo kinanesanesa wakati kikiwa kwenye mwendo,chukulia tractor inapolima inahitaji majembe kujichimbia chini hivyo kunesanesa kutasababisha majembe kuachia ardhi na kushindwa kulima,huu mfano upo pia na kwenye mashine zote za ujenzi.pia matairi makubwa yanafanya kazi ya suspensheni ikiwa barabarani
Mkuuu umejibu swali langu isitoshe PCM ulisoma vizuri
 
Aliesema train haina suspension. Picha hizo hapo.
0b9fbe02ae0d290f7f41b38ad9b4d2eb.jpg
f1c23cdee8f4aa2f32ba890338adc7f8.jpg
480c5a74e535ff92169a4990513f57bb.jpg
0cd03b0982cfaf45aa0eebebb9fe2092.jpg
f3d20d5bfabc28cb0600f30128faa401.jpg
 
Songea to Mbinga road, Sumbawanga to kassanga port road, songea tunduru road,etcetera
Songea Tunduru SOGEA SATOM,hapa MOses utamfahamu tu.
Xwanga kidogo upate kama ungeanzia Laela X wanga via mpui hapa Nolasco ungempata.
Lakini kuna Operator maarufu wa Grader(Robert) bila shaka utamfahamu
 
Hizo zinaitwa COIL na sio Suspension,
Na kazi yake inabidi angalau uwe na D ya Fizikia.......AC Magnetic Field zahusika.....
Ndugu hebu nenda kasome vizuri kuhusu locomotive suspension system ikiwezekana nenda uka google ndipo uje kuongea vizuri. Those coils are not there for AC magnetic field or for generation of electic current. Ninakifahamu kitu nilichokipost.
 
Tatizo lake anaongelea suspension kama physical object wakati ni kitendo kinachofanywa na object kama coil na springs
 
Songea Tunduru SOGEA SATOM,hapa MOses utamfahamu tu.
Xwanga kidogo upate kama ungeanzia Laela X wanga via mpui hapa Nolasco ungempata.
Lakini kuna Operator maarufu wa Grader(Robert) bila shaka utamfahamu
Zidadu unamfaham? Or gada, mayunga, jeli
 
Hizo zinaitwa COIL na sio Suspension,
Na kazi yake inabidi angalau uwe na D ya Fizikia.......AC Magnetic Field zahusika.....
Nyie binadam mkoje mimi nauliza kuhusu earth moving equipment na nyie mnazungumzia meli na tren
 
Back
Top Bottom