Why don't we get married to our first lovers?.....

Do I look like unreasonable strict to u? or do i look like a sheikh or pastor ... hapo in red u should be ashamed to speak like that... If u do that to other ppl's daughters/sisters be sure some ****** will do the same to ur sisters and daughters... ) because what goes around.................

Frankly i am disgusted... yuck...
 
Some of us did.. and we were burned....
 

nafikiri tunaanza mapenzi mapema sana, kabla hatujamaliza masomo, au kabla hatujawa kazi. Zamani watu walikuwa wanaoana mapema, mama yangu aliolewa when she was 16, kamaliza kuzaa when she was 29; siku hizi at 29 wengi wanakuwa hawajaoa au kuolewa; so it is more likely mpenzi aliyekuwa naye when s/he was 16 atakuwa mbali naye na hivyo kupelekea kuoa au kuolewa na mtu mwingine.

lakini pia, some of those 1st love haikuwa love, bali ni abuse kwa wengine. So huwezi tegemea mtu aolewe na mbaba aliyembaka na kutake advantage ya udogo/u-innocent/uyatima wake; au wengine hubakwa na house girls ambao wanawazidi say miaka 4 na kuendelea.

so kwangu mimi haijalishi kama huyo ni first 'love' au last; kinachojalisha ni mapenzi yangu kwake.
 
kama mliyeoana siyo right person,ni sawa kujiuliza kwa nini hukumwoa mpenzi wako wa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…