niliwafanya wakina nani?........mhh, karibu kwenye mpambano....lol, we mbona uliwafanya wa wenzio hivyo?.
hehehe!noted....we mwache tu. what goes around comes around.
I would say a girl who give herself easly to a man is weak and stupid...
kwani it is a must to have sex if you are inlove with someone? the best way is to wait for the right time...when I was young I have done many crazy things but there was no way in friggin hell that I'd ever let my guard down and let a man get within a mile of me...if you love me then u should marry me first... mambo ya kuvuliana chupi ni ya kijinga bana...
and this is what I'm gonna teach my daughters... aint gonna tell them not love but to be smart...
Good luck,
I'll be teaching my boys how to break your girls defences!!
Karibu sana jamvini luv habari ya kupotea?
Huyo anaoleka vizuri sana watu wengi wana dhana potofu ya dharau huenda mpaka kusema huyo si type yangu, dah sijui sio binadamu mpaka useme huyo si wa type yako au kwa vile hana kitu? All in all ndoa ni upendo na utu, na upendo hauna gharama kusema utanunua sijui kwa sh ngapi la hasha huwezi nunua upendo hata siku moja utaishia kununua Penzi na si upendo, upendo ni nafsi ya mtu jinsi inavyo mtuma kumpenda mtu unaweza jilazimisha kumpenda mtu kwa vile yupo hivi au vile au ana kitu flani mwisho ya siku vitu hivyo ulivyo mpendea vikatoweka na upendo ndipo unapo fika kikomo waswahili wanasema upendo wa kinafiki.
Am damn seriousmpwa mi najua unatania tu.......
At least there is someone who understands me well.Chrispo bana haya... i guess i know what is ur first lover u r talking about... am i right? ... have a nice weekend dear...
hehehe!
mimi mtoto wangu wa kike kijitu kikimfanya wa ''majaribio'' nitaua mtu!........
hehehehe!
try meeeee oooooooh!
are they kill you oooh!
Mpwa hii kitu umeikopi wapi?
Hicho kichwa chenye hangover masaa 10 kwa siku hakiwezi kuandika hii biblia!
Mpwa naona unafuatilia nyendo za big brother.hehehehe!
naona huyu noname huyu.......
Mpwa naona unafuatilia nyendo za big brother.
Unajua hiyo ni dhambi?