Kwa wenye umri wa miaka 25 na kuendelea

Nilimpenda msichana mmoja na nikajiamni kuwa natmweka ndani tu. Binti alikua innocent flani halafu kafa kaoza kwa kijana. Tulikua "pamoja" for 13 years!! Mimi nikawa najirusha kama sina akili nzuri, taking her for granted.
Warning signs sikuzitilia maanani, hehehe all of a sudden, kajamaa flani kalikokua kanazengea pembeni pembeni for 3 years hivi kakajitokeza. Mimi being over confident nikamwambia binti aende kama wangu atarudi kama sio basi. In two weeks akatoa posa, after two months NDOA!! Naona picha kwenye the Citizen!! Hahahaha DUH!!
Ila I don't think kua najuta although she was a beuty queen I don't think ningewezana nae kama wa sasa, au ningempenda hivi, lakini imenifundisha kutokua over confident na kuondoa vi pompasity and NEVER ASSUME OR TAKE THINGS FOR GRANTED!! Hahaha life bwana!
 
hehehe!
sina kwa kweli!
lakini wewe fl1 naomba usiandike chochote kwa heshima yangu

hahahaha heheheh mie hata sifungui mdomo wangu Geoff kwa heshima yako ...na si kwamba mie ni malaika mikasa katika maisha ipo ..
 
Nilimpenda msichana mmoja na nikajiamni kuwa natmweka ndani tu. Binti alikua innocent flani halafu kafa kaoza kwa kijana. Tulikua "pamoja" for 13 years!! Mimi nikawa najirusha kama sina akili nzuri, taking her for granted.
Warning signs sikuzitilia maanani, hehehe all of a sudden, kajamaa flani kalikokua kanazengea pembeni pembeni for 3 years hivi kakajitokeza. Mimi being over confident nikamwambia binti aende kama wangu atarudi kama sio basi. In two weeks akatoa posa, after two months NDOA!! Naona picha kwenye the Citizen!! Hahahaha DUH!!
Ila I don't think kua najuta although she was a beuty queen I don't think ningewezana nae kama wa sasa, au ningempenda hivi, lakini imenifundisha kutokua over confident na kuondoa vi pompasity and NEVER ASSUME OR TAKE THINGS FOR GRANTED!! Hahaha life bwana!
Pole mkuu kwa kujiamini kupita kiasi.
 
mwana.. japo cjafika sate.. miaka 25(miaka 2 tangu kumaliza chuo).. nilikuwa nimeshaingia uraiani na kiburi na ujinga mkubwa wa elimu ya juu kuwa maisha ya uraiani na rahisi ka yale ya chuo kikuu.. nlijikuta naanzia chumba kimoja na godoro chini.. nikamaliza viatu pea nne kusaka kazi(mashati ya mtumba na jeans ndo usiseme)..nimepiga ndefu(kulala njaa) mara za kutosha tu, nimeshushiana bifu na mwenye nyumba kwa kupitiliza kulipia pango .. nimepiga mihuri(kutembea kwa miguu kwa kukosa nauli).. licha ya vyote, wajukuu wa Eva walichezea kichapo kama kawa!!japo nilipta kazi mbalimbali .. nilikuwa na uvumilivu F.. nikitarajia kupata mafanikio kama Uyoga unavyokua...nikaishia kuwa mtumwa wa kupata na kuacha kazi(kwa sababu za kitoto)..!!! Sijajua hadi sasa hali hiyo ilisababishwa kukosa ushauri mzuri, mazingira ya kazi,aina ya kazi,ni hekaheka za ujana.. au upumbavu tu.. Ila nashukuru mungu ni matatizo hayo yamenijenga hadi sasa nimetulia katika taasisi kubwa nchini kama mtafiti!!:D
Nimeipenda sredi.. imenirejeshea kumbukumbu ya vioja vingi katika maisha yangu ya kipindi hicho... Kudoz!!
 
Mimi nitokea kuitwa katika shirika fulani na nilikuwa napata mshahara reasonable kuweka msingi wa maisha yangu. Ni pale tu nilipomaliza chuo sikukaa hata wiki nipo ofisini. Nilifanya mawili ambayo hadi sasa ningemshauri kila rafiki yangu asidhubutu kuyafanya hasa wakati anapoanza maisha yake;

1. Nilijaribu kuwaridhisha na kuwapendezesha ndugu na marafiki zangu (ambao walikuja kuniteta, kunidharau, na kunisanifu baadaye) bila mipaka, na kujisahau kuwa bado nahitaji kujenga hata msingi wa maisha yangu na ya familia yangu kwa baadaye; kama kujiendeleza kielimu, kuwekeza kwa ajili yangu, nk.

2. Nilipokuwa nikidai "job discription" yangu nilipigwa tarehe, haki zangu sikuwekewa wazi, nilibaki kutumika katika kila field itakayohitaji mtu kwa wakati huo, kitu ambacho ilinipelekea kuuwa fani yangu, kushindwa kudai haki zangu pale nilipoamua kuondoka, na kupewa recommendations tofauti na nilivyochangia mafanikio ya shirika hilo.

3. Nilijisahau hata kusaka kazi kwingine hadi pale nilipotoka katika shirika hilo bila kuamini, tena bila haki yoyote kama watumishi wengine...!

Ushauri:
1. Unapoanza kibarua, kamwe usijisahau na kuanza kuwahudumia nduguzo bila mipaka, hawana shukurani kabisa. YES...! usiwatenge, bali uwe na mipaka ili usijiachie mno.

2. Popote unapoanza kazi, hakikisha unayajua mambo mawili kwa ufasaha; Wajibu wako na Haki zako, udai "job discription mapema na Recommendations wakati wa kuondoka. Hizi zitakulinda na kukuongoza katika kazi yako, na ni zana zako za baadaye.

3. Hata ukiwa ofisini sasa, si dhambi wala si kosa la jinai kuomba nafasi zozote utakazoona zikitokea na unadhani zinakufaa. Bali usianza kubomoa nyumba unayokaa bila kumalizia unayohamia...!

Shukrani:

Kwa kweli namshukuru Mungu kwa kuwa hadi sasa nipo ofisini, na nimeshaanza kuziba magepu hayo kwa kasi mpya, ari mpya, nguvu mpya, na akili mpya. Nimejifunza yaliyomuhimu sana katika maisha yangu.
 
Nilitongozwa na miss TZ wa wakati huo Nancy Sumari (2005) , tena kabla hajawa miss nikamtolea nje. Najuuuta kumkatalia
 
my bad spending habit and love of expensive stuff ,I still have this problen
i never learn how to save or control my spending...
 
Nilitongozwa na miss TZ wa wakati huo Nancy Sumari (2005) , tena kabla hajawa miss nikamtolea nje. Najuuuta kumkatalia

Hahahahahahah! Pole sana, mnaambiwa msiwe mnazidhulumu nafsi zenu hamsikii, umeona sasa!
 
my bad spending habit and love of expensive stuff ,I still have this problen
i never learn how to save or control my spending...

No you have to do something about it. To be successful in life, you need to have the highest level of
financial discipline and time management discipline.

Warning: Don't ask me if I practice what I preach!!
 
I know Masaki that has been my new year resolution for the past 5 years ... I am guilty as charged... tell me about the financial discipline in private
 
Nilipoambiwa na Mkuu wa Mkoa DSM wakati huo, sasa Katibu Mkuu wa chama kinachokera Watz kuchangamkia viwanja Makongo Juu wakati wa ziara yake na kumuagiza mtendaji atutafutie tena bure waandishi tuliofuatana nae nikapuuzia..Hivi karibuni nimenunua huko huko kwa milioni kadhaa.
 
Japo sijavuka hicho kipindi kilichotajwa tayari nimekosa mbele ya Mungu na familia yangu kwa kuwa kwenye hili shirika ninalofanya kazi na kuwa na bosi kimeo kama huyu.
 
Japo sijavuka hicho kipindi kilichotajwa tayari nimekosa mbele ya Mungu na familia yangu kwa kuwa kwenye hili shirika ninalofanya kazi na kuwa na bosi kimeo kama huyu.

Mimi bosi wako nasema ''noted with thanks''. :rolleyes::D
 
Yaani ashukuru kwa kuidhulumu nafsi yake? :confused:

ashukuru sana maana kaka yangu alishoboka na ndoa ikavunjika kwa kunogewa huko....

Mimi bosi wako nasema ''noted with thanks''. :rolleyes::D

Nguli najumuika na wewe kwenye masikitiko yako.....too bad!! boss ako busy sana n ashughuli nyingine!!! hahahaaa lol!!
 
Back
Top Bottom