Hawakua na plan B, kwa sababu walijua wanamaliza kazi paleKwa hiyo anaadhibiwa kwa sababu hakumuuwa Tundu Lisu? Kila siku zinavyozidi mnazidi kuonyesha kuwa ninyi ni evil people na hata hizo risasi mlizipanga huko chadema vingenevyo siwezi kuamini mtu anawezaje kuandika ulivyoandika.
I mean, kama Serikali ingetaka kumuua Tundu Lisu hata Nairobi asingefika.
Mbusi kama ile ya 666 swafiiiiBan imeisha?
Mbusii wewee!
Wewe ndiye ulitumwa kumuua, kwa nini ulipoteza risasi 38 bila kumlenga hats moja? Bure kabisa, hujui hizo risasi ulizochezea ni kodi zetu? Kilangila.Kwa hiyo anaadhibiwa kwa sababu hakumuuwa Tundu Lisu? Kila siku zinavyozidi mnazidi kuonyesha kuwa ninyi ni evil people na hata hizo risasi mlizipanga huko chadema vingenevyo siwezi kuamini mtu anawezaje kuandika ulivyoandika.
I mean, kama Serikali ingetaka kumuua Tundu Lisu hata Nairobi asingefika.
Kama walivyokosa plan B walipo mnyang'anya Maalim Seif na kumzawadia Lipumba chama cha CUF. Kilangila.
Siyo serikali ni jiwe na genge lake wakiongozwa na bashiteMungu alimponya lisu, kama serikali inashinda mamlaka ya Mungu.yatakua maajabu hayo. Siku izi anatoa speech kwa adabu, kuna nini 2020??
Sent using Jamii Forums mobile app
Angepewa ubalozi Japan au Marekani kwangu pia isingekuwa ni issue.Kuna baadhi ya watu hawataelewa ulichoandika! Hili ndilo lakusikitisha zaidi!
Masikitiko yako ni kama yangu niliposikia tu huyu mzee anapewa ubalozi.
Mimi kwa uelewa wangu nilijua kwamba hizi kazi za ubalozi zina watu wake hasa waliobobea katika maswala ya kidiplomasia
Kwa haraka haraka mimi hili la huyu dokta naliona kama "kudumaza" taaluma na malengo yake
Nchi makini zinathamini sana na kuendeleza vipawa na maono ya wananchi wake!
Mtu muhimu kama huyu kwenye sekta yenye wataalamu wachache kama afya unaanzaje kumpa ubalozi!? Ila huwezi jua huenda anaenda kututafutia fursa za vijana wetu kusoma masomo ya afya huko aendako! Vinginevyo watu kama hawa ndio walitakiwa kutumia tafiti zao na maono yao ili kuongeza ufanisi na wataalamu katika sekta ya afya!
Nchi nyingine watu kama hawa wanafungiwa maabara kabisa kutafuta majawabu ya matatizo mbalimbali kwenye jamii!
Kama ulivyosema, hata mimi sitaki kuamini katika maswala yasiyo na ushahidi usioshikika kwamba kuokoa maisha ya Lisu yaweza kuwa sehemu ya sababu ya ubalozi Wake! SITAKI KUAMINI KATIKA HILO HATA KWA BUNDUKI!
Sent using Jamii Forums mobile app
NgeseMbusi kama ile ya 666 swafiiii
Kuliko nyie mafala msio na mbele wala nyuma, si wabaridi wala wa moto
Ndio Maana Mwenyezi Mungu amewatapika mmekuwa kichefu chefu cha kila uumbaji
Mmepigwa laana na Mama Tanzania mpaka kizazi cha nne walahi
Haya kwendraaaaa kafie huko fanatic fool!
Kuitwa balozi kunaongeza nn mwilini? Amani ya rohoni ni bora kuliko title kubwaHivi unajua ubalozi una hadhi ya juu na inayotambulika kimataifa kuliko ukatibu mkuu? Asipovuliwa hadhi hiyo kama Kidata, maisha yake yote atatambulishwa duniani kote kama mheshimiwa balozi. Lakini katibu mkuu wa afya akistaafu haina tea uzito hiyo nafasi na hawezi kwenda nje ya nchi na kutambulishwa kama mheshimiwa katibu mkuu wa afya mstaafu. Nadhani Mpoki mwenyewe hana malalamiko juu ya hilo. Hata mazingira ya kufanyia kazi naimani ni bora kuliko hapo chini ya jiwe mdukuzi mpaka wa sms. Anatoka kufanya kazi zinazoendeshwa kisiasa na kuingia ulimwengu wa diplomasia. Hata personal network yake itaongezeka na kuboreka kwa exposure atakayopata. Kwa uteuzi huu, ni kumuonea gere sio kumsikitikia. Wakuchambuliwa maana ya uteuzi wake ni Kamuzora.
Hauko sahihi, Dr mpoki alikuwa mbioni kuanzisha degree ya nursing wenye speciality ya utoaji dawa za usingizi ambayo hata mtaala wake ulikuwa uko tayari na ufundishe MUHAS (mihimbili.....)Acha kupotosha umma, Madaktari bingwa wa usingizi kwa sasa wanazidi 30 na sio kwamba hawafiki kumi!! Ni kweli hata hao waliopo ni wachache sana!! Pili Mpoki hajafanya lolote ktk kuongeza idadi yao na yy amesababisha madr 3 wataaluma yke kuresign baada ya kuwahamisha kwa chuki zke binafsi!!. Kuondolewa kwake ni sahihi kabisa maana hajaacha legacy yoyote hapo wizarani zaidi ya kuwa mzururaji tu!
Muache akapumzike unataka ashike mikasi tuuuu! mpaka kifo kimkute? wabongo kwa Dezo bana?