Kwa hiyo wangeitungua ile ndege iliyompeleka nairobi au?Kwa hiyo anaadhibiwa kwa sababu hakumuuwa Tundu Lisu? Kila siku zinavyozidi mnazidi kuonyesha kuwa ninyi ni evil people na hata hizo risasi mlizipanga huko chadema vingenevyo siwezi kuamini mtu anawezaje kuandika ulivyoandika.
I mean, kama Serikali ingetaka kumuua Tundu Lisu hata Nairobi asingefika.
kombe ilikuwaje??
Kuna baadhi ya watu hawataelewa ulichoandika! Hili ndilo lakusikitisha zaidi!
Masikitiko yako ni kama yangu niliposikia tu huyu mzee anapewa ubalozi.
Mimi kwa uelewa wangu nilijua kwamba hizi kazi za ubalozi zina watu wake hasa waliobobea katika maswala ya kidiplomasia
Kwa haraka haraka mimi hili la huyu dokta naliona kama "kudumaza" taaluma na malengo yake
Nchi makini zinathamini sana na kuendeleza vipawa na maono ya wananchi wake!
Mtu muhimu kama huyu kwenye sekta yenye wataalamu wachache kama afya unaanzaje kumpa ubalozi!? Ila huwezi jua huenda anaenda kututafutia fursa za vijana wetu kusoma masomo ya afya huko aendako! Vinginevyo watu kama hawa ndio walitakiwa kutumia tafiti zao na maono yao ili kuongeza ufanisi na wataalamu katika sekta ya afya!
Nchi nyingine watu kama hawa wanafungiwa maabara kabisa kutafuta majawabu ya matatizo mbalimbali kwenye jamii!
Kama ulivyosema, hata mimi sitaki kuamini katika maswala yasiyo na ushahidi usioshikika kwamba kuokoa maisha ya Lisu yaweza kuwa sehemu ya sababu ya ubalozi Wake! SITAKI KUAMINI KATIKA HILO HATA KWA BUNDUKI!
Sent using Jamii Forums mobile app
hawa cdm wapuuzi sana wakaondoa ulinzi, wakaiba cctv camera na kuzuia wachunguzi wa kimataifa kuficha ushetani wao.Kwa hiyo anaadhibiwa kwa sababu hakumuuwa Tundu Lisu? Kila siku zinavyozidi mnazidi kuonyesha kuwa ninyi ni evil people na hata hizo risasi mlizipanga huko chadema vingenevyo siwezi kuamini mtu anawezaje kuandika ulivyoandika.
I mean, kama Serikali ingetaka kumuua Tundu Lisu hata Nairobi asingefika.
Hawezi, Tanzania kila uteuzi ni ajira ndo maana hatuna utamaduni wa kujiuzulu wala kukataa uteuzi. Nje ya uteuzi maisha ya kipato yana maumivu mengi sanaKwani hawezi kukataa huo uteuzi?
mmh smellyNimeona credits za Ujenzi WA vituo Vya Afya anapewa Naibu Katibu Mkuu, halafu Katibu Mkuu (Mpoki) anaachwa! Something smell fishy!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu alimponya lisu, kama serikali inashinda mamlaka ya Mungu.yatakua maajabu hayo. Siku izi anatoa speech kwa adabu, kuna nini 2020??Kwa hiyo anaadhibiwa kwa sababu hakumuuwa Tundu Lisu? Kila siku zinavyozidi mnazidi kuonyesha kuwa ninyi ni evil people na hata hizo risasi mlizipanga huko chadema vingenevyo siwezi kuamini mtu anawezaje kuandika ulivyoandika.
I mean, kama Serikali ingetaka kumuua Tundu Lisu hata Nairobi asingefika.
What do we have to do? A y solution?Nchi iko kwenye shambles!
Kwa hiyo anaadhibiwa kwa sababu hakumuuwa Tundu Lisu? Kila siku zinavyozidi mnazidi kuonyesha kuwa ninyi ni evil people na hata hizo risasi mlizipanga huko chadema vingenevyo siwezi kuamini mtu anawezaje kuandika ulivyoandika.
I mean, kama Serikali ingetaka kumuua Tundu Lisu hata Nairobi asingefika.
stupid mama yako hawala yangu
Ban imeisha?
Dawa ya moto ni motostupid mama yako hawala yangu