Why Doctor Mpoki Ulisubisya?

I mean, kama Serikali ingetaka kumuua Tundu Lisu hata Nairobi asingefika.

..walijua TL hawezi fika Nairobi akiwa mzima.

..ndiyo maana walipanga safari Muhimbili, then Singida moja kwa moja bila kuchelewa.

..Hakuna kumuaga wala kutoa heshima.

.."NYUMBU" peke yao ndiyo walikuwa wameweka matumaini na wakimlilia MUNGU amponye.

Cc tindo
 
Hamuoni sasa ataongeza hadhi na kuitwa Balozi mpoki pia kupelekwa huko ni kama akapumzike baada ya kazi kubwa aliyoifanya wizarani. ...hongera balozi mpoki kwa nafac hizo adhimu kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Sawa personal secretary wa Tundu Lisu, na Zito Kabwe je, na yeye atauliwa pia na lini atakufa?
 
Lazima Magufuli na makonda wanasononeka kwa nini hakuzima mashing pale Dodoma kwa nini wampeleke cuba wasimrudishe muhimbili au mbeya
 


Hivi unajua ubalozi una hadhi ya juu na inayotambulika kimataifa kuliko ukatibu mkuu? Asipovuliwa hadhi hiyo kama Kidata, maisha yake yote atatambulishwa duniani kote kama mheshimiwa balozi. Lakini katibu mkuu wa afya akistaafu haina tea uzito hiyo nafasi na hawezi kwenda nje ya nchi na kutambulishwa kama mheshimiwa katibu mkuu wa afya mstaafu. Nadhani Mpoki mwenyewe hana malalamiko juu ya hilo. Hata mazingira ya kufanyia kazi naimani ni bora kuliko hapo chini ya jiwe mdukuzi mpaka wa sms. Anatoka kufanya kazi zinazoendeshwa kisiasa na kuingia ulimwengu wa diplomasia. Hata personal network yake itaongezeka na kuboreka kwa exposure atakayopata. Kwa uteuzi huu, ni kumuonea gere sio kumsikitikia. Wakuchambuliwa maana ya uteuzi wake ni Kamuzora.
 
Soma uelewe concept vizuri hadhi na taaluma wapi na wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hovyo sana wee jamaa. Pia sisi tukiamua kumuua Jiwe ni rahisi tu lakini he is better to be alive than dead
 
Kak
 
ubarikiwe sana mkuu
 
Hahaha Mbona Dr.Mpoki yuko njema tu. Mnao andika kumuhusu hata hamumfahamu Dr.Mpoki.
 
Bado hutaki kuamini kuwa serikali imejsaribu na imefeli Mungu mkubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…