Why Do You Cheat?

mkuu haya maisha ni fumbo. Unaweza kuwa unamiliki mali lakin mke wako akakuacha akaenda kuolewa na msukuma mkokoteni, kwa nini? Jibu ni, kuna kitu ambacho kwako hakipati na ndicho kinampa furaha na sio ati lazima yawe mapenzi no, hata uhuru(freedom) ni tosha kwake na sio unampa masharti ati asitoke ndani hadi pichu wewe ndo unamletea hamna. Mpe uhuru wake na umwambie kabisa maisha ni yetu wawili hao wanje hawatasaidia chochote usiwasikilize. Asiwa mtu wa kuweka maneno ya watu kichwani na mtaishi hadi wewe mwenyewe ushangae. Lakin kama n kuchunguzana hapo hamtafika hata stendi kwa safari yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…