Unaomba pumzi maiti......
Dah!! Huyo yuko addictive ile mbaya na kweli haya makitu bana wewe unakuwa busy na BB yako hata haukumbuki kama kuna mtu uko naye
Kiongozi ! Salama? Nifanyie uungwana niunganishe naye huyo... Maana ni kama kusukuma mlevi kwenye utelezi
Salama mkuu.............aisee haya mambo bana...hivi anakuwaje boyfriend halafu ni soo boring, inawezekana kuna wanaopenda boring....ebana kimya mkuu
wakuu leo option ya 'Reply with Quote' naona imeamka nazo.....naona mazingaombwe tu hapa
GY alimkosea sana! Wadada wa hivyo ni vicheche pori!wale hawafugiki
2.Don't be PREDICTABLE. If a woman can guess what you're going to do or say, you're being predictable, if she can't guess what you're going to do or say, she'll always be wondering, women are much better at predicting behavior than men
3.Don't be BORING, when you are so predictable that NOTHING is new or different, then you are officially BORING, boring is also lack of adventure, passion, energy, humor and ATTRACTION.
Have a blessed weekend.
TF.
It cant be, there is always someone you just dont realise yet
Kumbe Mbu ni mwanamke? au sijaelewa hapa?...kisha hu summerize; "...WANAUME NDIVYO MLIVYO!"
lazima uwe umesoma ENGLISH-MEDIA kuikabili sredi hii
Yah!! Naona ilikuwa inaleta mazingaombwewakuu leo option ya 'Reply with Quote' naona imeamka nazo.....naona mazingaombwe tu hapa
Halafu wewehahahaha! Kama shule ya kata uwe na dictionary pembeni.
Mbu kwenye ku-summarize nakuachia hiyo opportunity lol, halafu umekaa wapi mbona sikuoni hapa Westminster Abbey...kisha hu summerize; "...WANAUME NDIVYO MLIVYO!"
kwahiyo hapa mmekubalianaje sasa ili uwe msimamo wetu
Kumbe Mbu ni mwanamke? au sijaelewa hapa?
Mbu kwenye ku-summarize nakuachia hiyo opportunity lol, halafu umekaa wapi mbona sikuoni hapa Westminster Abbey
kwahiyo hapa mmekubalianaje sasa ili uwe msimamo wetu
Mfalme wa Amani kamalizamsimamo ni ule ule.......
leo saa kumi na moja tukutane PARE PARE......ODINAREEEE....!TUKAPIGE WAREEEEE