Why do women cheat...

Ni kweli kipofu maana anakufundisha bila kujua. Mara nyingi matendo ya mume/mpenzi wa kiume ndo yanakufundisha wewe kucheat!!
haswa!!! mimi na amini asilimia kubwa ya wanawake wanaotembea nje ya mahusiano yao inapelekewa na wanaume wenyewe........
 
Ni kweli kipofu maana anakufundisha bila kujua. Mara nyingi matendo ya mume/mpenzi wa kiume ndo yanakufundisha wewe kucheat!!

heart desire kama wenyewe wanacheat sisi je wote tuna moyo mmoja tumeumbwa kwa damu na nyama same same with..mme wangu ali-cheat sitasahau daima dumu katafuna wadogo zangu 2..moyo unaumia
 
wat!! wadogo zako as in the african sense au kibaiolojia???
 
Hii sentence imenipasua moyo Egyps. Pole dada yangu
 
Let put a few coins in this cup!!

looking at the ten reasons shared here... hakuna mwanamke ambaye hata-cheat maana karibu wanaume wooote wa kiafrika watascore at least 4/10 mazee, na cha zaidi ni kwamba kuna temptations kama 5 hivi ambazo mwanamke yuko likely kukosa control nazo

i dare to challenge:eek:
 
heart desire kama wenyewe wanacheat sisi je wote tuna moyo mmoja tumeumbwa kwa damu na nyama same same with..mme wangu ali-cheat sitasahau daima dumu katafuna wadogo zangu 2..moyo unaumia

aya aya ayaaaaa hii iko deep sana na dip pia!!!

Pole sana Egyps, i think kwa issue yako your husband cheated on you but mbaya zaidi ni kwamba your siblings betrayed you as well, which is even worse!! Daaaaahh, painful kinoma
 
Hii sentence imenipasua moyo Egyps. Pole dada yangu

situations nyingine jamani ni ngumu!!!! maisha gani haya lakini..............???? aaaaaaah you might end up commiting a capital crime to yourslf or somebody else!!!!
 
aya aya ayaaaaa hii iko deep sana na dip pia!!!

Pole sana Egyps, i think kwa issue yako your husband cheated on you but mbaya zaidi ni kwamba your siblings betrayed you as well, which is even worse!! Daaaaahh, painful kinoma
Kweli mzee ila mara nyingi hapo kwenye nyekundu siblings ndo hua wanaanza visa...sasa ukikuta mbaba thaifu anamaliza tuu!
 
wat!! wadogo zako as in the african sense au kibaiolojia???
bht -ndo maisha mme wangu nikiwa masomoni nilimwacha na mdogo wangu kuangalia familia yangu..mwisho wa siku mme wangu sijui alitumia convising power gani akamtafuna..

Mdogo wangu mwingine kaja kuangalia familia ili mwenzie arudi nyumbani mme wangu naye akatafuna ..
Kilichotokea mimba ya shemeji ndio ilipasua jungu baada ya kumbana ...kikao cha family kukaa na mwingine nae huku akilia machozi akatamka kwa uchungu na yeye shemeji alikula na kuharibu usichana wake..
siamini .....
 
mpaka sasa sina majibu nimfanyeje huyu mme muuuaji ..yes kwangu mimi ni muuaji kwa sasa sitashangaa sana nikiona mama /dada anacheat sitashangaa hata kidogo kwa niliyopitia
 
Dah pole we!! Life is so strange!
 
Nawaambieni msioe wala msiolewe hamnisikii. Huyo aliyemegewa wadogo zake angekuwa hajaolewa yasingemtokea hayo
 
kwani walikuwa wadogo kiasi gani hao wadogo zako?
fisi tena mkampa nyama apeleke jikoni??
anyway tha was not a justification kwa yeye kurudia kosa
pole dada ni mazingira magumu
kwani bado mpo na mumeo? ( i hope no)
 
Nawaambieni msioe wala msiolewe hamnisikii. Huyo aliyemegewa wadogo zake angekuwa hajaolewa yasingemtokea hayo

shemeji walio ndani wanataka kutoka, wa nje wanatamni kuingia....
 
mpaka sasa sina majibu nimfanyeje huyu mme muuuaji ..yes kwangu mimi ni muuaji kwa sasa sitashangaa sana nikiona mama /dada anacheat sitashangaa hata kidogo kwa niliyopitia

dah anagalau bado unaweza kumwita mume!!!
 
Back
Top Bottom