Why do women cheat...

mie sioni tatizo manake wakienda kucheat bado wana cheat na sisi (wanaume).kwahio hilo swala ni la mda mfupi tu kwani huyo anaye cheat nae na yeye pia ana cheat na yeye.cheating is just a game going back n forth n u cant stop any one from doing it if they want to do it.

the best way to stop it maybe,is to increase communication in ur relationship with your partner.jipeni uhuru wakukosoana na kuwa wawazi pale unapoona kuna upungufu ,mmoja wenu anaweza kukasirika kusikia ukweli lakini atafanya bidii ya kubadirika kama yuko intrested na wewe.kupitia njia hii basi wote wawili mtaweza kufanikisha sifa mnazozitaka kutoka kwa mwenzako.

zaidi ya hapo cheating is not a long term solution.
 
Wanawake bana sijui wakoje! Si unaona walivyoamua kucheat na mume wa mtu Tiger Wood.......
 
kukudokezeeni tu kuhusu wanawake. wao huhisi kupendwa kwa njia tatu na hizi hutofautiana kati ya mwanamke na mwanamke.
  1. huhisi kupendwa kwa kuona: kwamba umletee na kumpa zawadi na azione. hapo utammiliki. ndogo na kubwa (hata jojo)
  2. huhisi kupendwa kuwa kuambiwa: mwambie tu mara kwa mara kuwa yeye ni mzuri, anapendeza, ni wa pekee. usiposema hayo kuna jitu huko likiropoka tu 'wewe ni mzur' umeporwa mke
  3. huhisi kupendwa kwa kuguswa: kukumbatiwa, kupewa mabusu, kupakatwa. ishara kama hizi asipopewa na mume, kutoka nje ni rahisi.
haya yote yanategemea na mwanamke wa aina gani. so wewe mwanaume msome mkeo anahisi kupendwa kwa njia gani hapo juu na utakuwa umekata mzizi wa fitina.
 
BAK.......dadavua tafadhali

Wengi wanajua fika kwamba wanapofanya shughuli hii inawezekana kabisa ikajulikana kwa mwenye mali zake...za mwizi si arobaini!? na wengi wanakuwa na woga kwa kuhofia yatakayotokea pindi ikijulikana kwamba njemba nyingine imegawiwa uroda...lakini pamoja na woga bado wanafanya hivyo labda kutokana na kumpenda njemba wa nje. Na wengine wa nyumba ndogo wanajua jamaa anaweza kuisusa nyumba kubwa na wao kupewa promotion ya kuwa nyumba kubwa kutokana na kazi zao nzuri...;)

Dada mmoja alipewa kipigo cha mbwa mwizi pale migomigo hivi karibuni na mwenye mali zake alipokutwa mitaa hiyo. Baada ya wiki dada yule akaomba kuonana tena na njemba na kutamkia mimi bado nakupenda sana...ina maana pamoja na kujua anaweza kupata kipigo kingine lakini bado alitaka kuendelea kuiba mali za watu...upo hapo MJ1!? :).
 
Usije changanya na kisamvu cha kopo! Huku Zenj habari yake kubwa

yeuwiii jamani wewe mambo gani hayo tena!!! huo ukubwa sina hata haja ya kuujua uishie huko Zenj!!!
asante umenionya maana akilizangu nyembamba hazijajua methali na mafumbobado

Askofu kwa kiswahili, Bishop kwa kingredha au kidhungu

kumbe si askafu!! nashukuru kukufahamu wal sijuti
 
Women by nature ni wavumilivu lkn wakifikia point ya kucheat kwenye relationship au marriage tunasema - when a woman is fed up! Men may cheat for the thrill or chase, lkn ni tofauti kabisa na mwanamke. Lakini pia kuna wanawake ambao ni tabia tu...wasipofanya hivyo hawana raha au kukamilika,

Kuna mdada in 1 year (na alikuwa na BF), alikuwa na statistic ya karibu wanaume 6, na sideline BF anamsubiri.....sorry and she had a hubby as well who decided to save his soul, he walked out.

Na ukweli ni kwamba most of such women are the ones men run after (20th Century fool...)
 
Back
Top Bottom