Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,944
- 177,160
Ni kitu gani hasa husababisha mtu kufumba macho wakati wa kissing?? Kwanini mtu asikodoee kodo?? Itakuaje ukimkiss mtu akakutolea mimacho??
U rily nid a bit of D.. this w/end otherwise utatupofua macho
kampeNitaona hanipi attention.. Me nitaendelea kufumba ili nisijue kama yeye amekodoaVipi Wee unakiss mwenzio kakodoa ?? How do you feel??
Asubuhi yote umeamua kutuvunja mbavu.....Sababu sura kwa karibu inatisha