Why do people blow the whistle? Would you?

Why do people blow the whistle? Would you?

Huyo tayari wachina watakua wameshamnasa,suala la yeye kwenda kuropokea hongkong ni wazi kuwa alikua anapanga kutorokea china.
Ila vilevile yawezekana majasusi wa marekani wameshamnyaka na kama ndivyo,ataimba haleluya,wao huwa hawang'oi kucha,you just disappear without trace.
 
Aise hata mimi nilikuwa nanagalia sana issue yenyewe tangu wiki jana na jana wakamtoa kabisa na picha ya whistle blower mwenyewe yank wa 29 years nikamwonea huruma sana maana amehatarisha maisha yake sana. Na ni kwa nini alisema siri zile? Ila sioni tatizo la filter za mawasiliano. Na kwa hakika wao wanaangalia yale ya hatari zaidi na sidhani kama clean communication zinasumbua. Ila pia kwa wale Boston Bombers ina maana wao walikuwa wanawasilianaje na kundi la Chechnya? Si kwa simu or else social networks? Mbona hawakukamatwa? Sometimes inasadia ila not 100% perfect. Sasa SNA hali tete ila Presidaa Obama inaitetea sana. Kwa upande mwingine nisifu sana Marekani kwa idara na wakala zake za Usalama. Si kwetu mtu analipua ibada halafu anakamatwa mendesha bodaboda bila kosa kisa eti alimleta mteja mlipuaji. Huwezi niambia kuwa serikali imeshindwa, it means the security system has failed or else are knowledgable of the issue at hand for a specific purpose!!!! Ni nani Mkuu wa Idara ya Usalama Tz? Ni nani Mkuu wa Jeshi la Polisi? Ni nani ni nani ni nani .............................? Tusichezeane shere Watanzania.
 
uzalendo ni kulinda taifa dhidi ya manyang'au sisi wa kwetu wanafanya nini cha maaaaaaaaanaaaa?
 
Hivi huyu dogo aliwashwa na nini mpaka kalopoka hizi mambo za wakubwa?
 
Mbwembwe tu hizo mbona wameshindwa kunasa mbinu za kitoto za wale watoto wa Boston walolipua hivi karibuni, hiyo ni michezo ya kisalama ili watu waogope kufanya mawasiliano kwa njia za digital kwa hofu kuwa watajulikana, magaidi hata wanapowasiliana huwez jua wanachoongelea hata ukiingilia mawasiliano yao kwa kuwa, uyo jamaa ni ni CIA anajaribu kutuma message kwa magaidi ili kuwatia hofu!
 
Wongo na mahaini tu, kazi yao kusaliti mambo ya wengine!! Leo wana miaka nenda hawaja fanikiwa lolote!
 
Hivi huyu dogo aliwashwa na nini mpaka kalopoka hizi mambo za wakubwa?

jamaa alikua former Technical assistant wa CIA kabla hajaacha na kujiunga na kampuni ambayo baadae ilipata contractor hapo NSA,ambao kwasababu ya surveillance program yao wanajenga bonge la mtambo utakaokuwa unavacuum any kind of information kuanzia mawasiliano ya simu,email,fax etc from thin air na kuzianalyse.
Kuingilia mawasiliano ya mtu ni kinyume cha katiba ya marekani,anasema kaamua kusacrifice mambo yote ikiwamo mshahara mnono,girlfriend,familiar ili kulisanua.
Na hiyo issue imekuwa moto kuna watu kama senetor Ron Paul wanataka rais obama ashitakiwe kwa kukiuka katiba aliyoapa kuilinda.
 
Jamaa mwenye miaka 29 aliyekuwa mfanyakazi wa CIA kitengo maalumu cha udukuzi amejitokeza hong kong na kutoa siri kuwa yeye ndiye aliyevujisha siri ya kwamba Wamarekani wametengeneza technologia ya hatari ambayo inapekuwa simu na mitandao yote duniani,yani hata kama unapiga simu wenyewe wanarekodi,hali hii imetishia demokrasia duniani kote.
America ni noma,alafu wanadai china wana dukua mitandao yao kumbe America ni wenyewe wataalamu.
Source,bbc,al jazeera,cnn,dw,

Sasa hapo kuna jipya? nini kinashangaza? hiyo ni kawaida kwa vyombo vya usalama duniani kote. wala sio news hiyo. hahahahaaaaaaaaaaaaaaa. duuuuh
 
Amebuuug men. Angejipanga upya na ashirikishe wengine kabla ya kwenda public ambapo ushahidi hana zaidi ya kuwa mfanyakazi wa hayo mashirika
 
Wongo na mahaini tu, kazi yao kusaliti mambo ya wengine!! Leo wana miaka nenda hawaja fanikiwa lolote!
 
This men are very intelligent.
Sasa unaambiwa kuwa hiyo ni technology ya siri.
This is more sophisticated technology.
Da yani bongo yetu na div four kuwa two na one sijui kama tutafika.
Jamani tunaitaji mzalendo wa kweli,hatutaki watu wenye njaa waongoze nchi.
We need a man of vission and mission.
 
Katika security agency dunia C.I.A ndio wanaongoza kwa kuwa na taarifa za dunia nzima kwa hilo mimi sishangai, ndio maana atajamaa aliyevujisha siri hii alisema anajua atakamatwa mda wowote is matter of time.
 
haahaaaaaa aiseeee nimesikia bbc bana lakkini ajasema yeye anadukua nini wenzie wanadukua shimu shetu asije akawa anatudukua kisiri siri!!!!!
 
Blowing one's whistle is like a self- ambulance the hearer should keep the way clear for the blower to pass!!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
jamaa alikua former Technical assistant wa CIA kabla hajaacha na kujiunga na kampuni ambayo baadae ilipata contractor hapo NSA,ambao kwasababu ya surveillance program yao wanajenga bonge la mtambo utakaokuwa unavacuum any kind of information kuanzia mawasiliano ya simu,email,fax etc from thin air na kuzianalyse.
Kuingilia mawasiliano ya mtu ni kinyume cha katiba ya marekani,anasema kaamua kusacrifice mambo yote ikiwamo mshahara mnono,girlfriend,familiar ili kulisanua.
Na hiyo issue imekuwa moto kuna watu kama senetor Ron Paul wanataka rais obama ashitakiwe kwa kukiuka katiba aliyoapa kuilinda.
Ni nani sasa wa kumshitaki Obama? Maana kwa nionavyo mimi huo si mpango wa Obama bali ni mpango wa Marekani kwa manufaa ya Marekani
 
That depend on what you stand for, Jesus says we should speak the truth, and the truth shall set us free, fear god coz he is the only one can destroy ur body and soul.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Me nadhani ni moral obligation kwa mwanajamii yoyote kupuliza kipyenga kama ana uhakika na ushahidi wa kutosha kwamba kuna wrong doing somewhere, iwe ni ofisini au mitaani tunamoishi.

Ila kwa sababu tunaishi kwenye Dunia ambayo maadili yamemomonyoka kupita kiasi, na ubinafsi ukikua kwa kasi, hiki kitu kimekua kigeni kwa wengi au hakina umuhimu sana kwa sababu;

>kwanza jamii yetu haziencourage watu wake kuwa mawhistle blower

>Woga na huu ni kotokana na kutokua na uhakika wa kupata ulinzi wa dola.
watu wanaogopa kuitwa wagonjwa wa akili na kupelekwa kupewa 'counselling' e.g Lauryn Hill, kuwa labelled as conspiracy theorists (wazushi/wachochezi), kutengenezewa kesi za uzushi

>Ubinafsi kwa maana kuwa kila mtu anashika hamsini zake hasa kama hilo swala halimgusi moja kwa moja na kama watapuliza kipyenga basi ni kwenye mambo madogomadogo.

Kwa hiyo, kwa Dunia yetu ya leo if you want to whistle blow, it's more of a suicide mission, labla hicho unachokiripoti kisiwe nyeti na kisiguse maslahi ya 'wakubwa'
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Aisee unatakiwa uwe na moyo hasa.

Jamaa anapata GBP 700,000 halafu anapiga teke kazi duh!!! Yataka moyo sana otherwise mtu utabaki unaumia kindani ndani kwamba haikuhusu huku unaumia unakosa uzingizi.
 
That depend on what you stand for, Jesus says we should speak the truth, and the truth shall set us free, fear god coz he is the only one can destroy ur body and soul.

Vipi wale wanaoamini kwingine au wasioamini kabisa kuhusu Jesus?
 
Back
Top Bottom