Its need to be strong..
I have that heart of blowing a whistle... ooh sory! Mkuu EMT did
Late Amina Chifupa marked as a whistle blower?
In Tanzania They can kill you shortly...
Pesa mbele kwanza eh?
Hamna anayependa uovu sema kila mtu lazima atazame mbele zaidi kwamba outcome itakuwa nini je kuna system ambazo zitawezesha changes kutokea nikishapuliza filimbi au ndio ile ile unabaki HERO huku unakufa na njaa kama huyo mama hapo juu ambaye alikuwa Nursing home akipiga simu kuomba kazi wanamuuliza nyie ndio wale wa BUKA eee?