Why do men lie especially in relationships?

Why do men lie especially in relationships?

Wanawake wanaishi kwenye ulimwengu wa fantasy. Ili kuwa-win ni lazima uwe mjuzi wa kuwaambia uongo unaowafurahisha. Unafikiri kwanini feminism ina nguvu kwa wanawake? Kwa sababu inawauzia fantasy ya vile mambo yanavyotakiwa kuwa, sio uhalisia wa mambo jinsi ulivyo. Women are hardly understand or accept the truth. You cannot entirely walk your way through with women if all you tell them is truth.
Peridot
 
kwa uelewa wangu madhumuni ya sisi wanaume kudanganya yanatofautiana, kuna mwanaume kudanganya target yake kutimiza haja zake, mwanaume mwingine anadanganya kwa kuhofia kukupoteza baada ya siri yake kuijua (mfano kama tayari ana mtoto)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom