Why do I love Russia

Naunga mkono. Wataalam wetu waliosomea Urusi ni Wapo-wapo tuu; wana Utaalam uliobobea wa:-
1.Matusi mazito-mazito ya nguoni tena ya hadharani
2. Unywaji pombe/Ulevi wa vinywaji vikali wa kupindukia
3. Hawana Taaluma ya ki-Ukweli-kweli vichwani- ni Vilaza ile mbaya i.e Vilaza wa kutupwa. Usiombe utibiwe na Daktari aliyesoma Urusi. Kwake yy hatambui kwamba kwa uzembe wake anaweza Kukudedisha kimasihara .
4. Wamejaa dharau na majivuno yaliyokithiri; yaani kwa lugha ya mtaani - Wanajisikiaga sana
 
Yaani Mwana acha tu kuna waleee!! wamejaa Temeke Hospitali pale!! ...... wakati wa mijadala ma wodini huko!! hawawezi kuchangia hoja kalikali!! zile hot!! kwa kuwa ni weupe kichwani.....wao ni yes! yes! tu! utawajua kirahisi, unajua wanacho kifanya ni nini?? ..

Sikia sasa ...... wanajitenga kimjadala hivi wanaongea kwa ki-Russia!! wao kwa wao!!.... Basi huwaga nacheeeka sana! wale wa Russia hata AMO waliosoma KCMC hawawafikii kwa visu!! hata ku-deal na magonjwa makubwa!! makubwa.

Ukienda Hospital utawajua kirahisi sana!!... wao wako ivi ni kuzunguka kwenye Corridor tuu!! na Cafteria! wameshikilia yale madude ya kung'aa km manati yanaitwaje vile.......sasa ukiona wa hivi!! jua kabisaaa Russia hiyoooooooo!!...kimbiaa!!!!
 
Hapa Tupo pamoja bro.
 
Sasa hapa nimekuelewa
 
Yale madude ya kung'aa yanaitwa Stethoscope hutumika kusikizia mapigo ya moyo na upumuaji katika mapafu ya mgonjwa. Lakini sinaga hamu na Wasomi watokao Urussi.
 
c&p

but i second your post
 
Dah mawazo yakinifu na pia nimeelewa vile umetafsri na hii lugha ya malkia ili hata watu wa huku kwetu waelewe .BIG UP BRO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…