Why do I love Russia

Na marinda yanarudi sio Salama.Hata Zelensky anajua hilo.
 
Ukiachana China na Urusi, nionyeshe nchi nyingine inayofuata ujamaa na imeendelea?

Ujamaa ni uchawi.
Hivi umefuatilia jinsi Marekani na washirika wake walivyo pambana kuhujumu maendeleo ya nchi yeyote iliyofuata siasa za ujamaa ili ionekane ujamaa na hasa ukomunisti ni mbaya kwa mustakabali wa maendeleo ya binadamu?

Umefuatilia mpango wa kuuwa ujamaa Congo, Vietnam kusini, Cuba, n.k. orodha ndefu.

Fuatilia classfied docs zilizo kuwa declassified za Marekani jinsi maaraisi wake na CIA walivyopanga mikakati ya ku-undermine serikali zozote za kijamaa. Walivyopanga mauaji au kupindua maraisi wake, walivyotumia propaganda kuanzisha ihasi au ikilazimu kupanga kuwaua viongozi wa nchi hizo au waungaji sera za kijamaa. Walieneza hadi uzushi wajamaa ni wapinga ukristo.

Soma kitabu:
The Brilliant Disaster: JFK, Castro, and America's Doomed Invasion of Cuba's Bay of Pigs
Book by Jim Rasenberger
 
Lakini hii picha ni ya muda mrefu na imeshatumika sana hapa JF na kwingineko na hao Reuters hawajawahi kukanusha.. Why now?
 
Who killed Nestor?
 
Russia hakushiriki mkutano wa Berlin? Nakushauri kamsome mtu anaitwa Pyotr Shuvalov alafu njoo uedit andiko lako.

Siku ukijua ya chini ya kapeti anayofanya Mrusi katika issue za gesi ikiwemo huku katika mwambao wa bahari ya hindi.

Utaelewa yeye na Mmarekani ni wale wale na wanachogombania ni nani avune zaidi vinono vya dunia.
 
Aisee.
 
Nobody is perfect! Hata wewe ukiwa na kisu ukakutana na mbaya wako kizani utambutua tuu... Tutofautishe uzalendo na uvamizi
 
Nobody is perfect! Hata wewe ukiwa na kisu ukakutana na mbaya wako kizani utambutua tuu... Tutofautishe uzalendo na uvamizi

Hakuna mahali nimelinganisha uzalendo na uvamizi. Nilichojaribu ni kukumbusha Mrusi na Mmarekani ni wale wale.
 
.umejitahidi pia mkuu,kunakiri!! Kuna watu walipewa mtihani waigilizie lkn bado walifeli kwa kukosea kukopi jinsi ilivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
umenikumbusha kitu.. Tukiwa tunafanya final exam ya std seven jamaa niliyekaa naye dawati moja nikamwambia anakili majibu yote toka kwangu... Huwezi kuamini matokeo yalipotoka alifeli
 
Hata kidogo. Awali nilikuwa namkubali Mrusi lakini kwa hili la kumwonea Dogo nimemtema mazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…