Why do I love Russia

Nyeupe ni nyeupe tu!! hakuna siku itakupenda tena afadhali Magahribi huko wanatujua kidogo waliishi na sisi!! sasa hivi wanajuta kwa madhambi yao!!!! lkn urussi nzima hawajawahi ishi na sisi!! hawa walidharau jumla kuishi na manyani sasa eti leo urogwe wende huko utapigwa mpaka usahau njia uloijia!
 
Kweli aisee na hao hao weupe walienda kuishi na waarabu(Libya, Afghanistan, Iraq, Syria) na hakika wamewajengea miji yao vzr saaaana,wamewapelekea ustaarabu wa kimagharibi.

Hakika nyeupe Ni nyeupe tu.
 
Soma historia.
Warusi walitoa msaada kwa freedom fighters wa kusini mwa Afrika.
Walituma silaha, washauri na wakufunzi wa kijeshi, walituma askari wachache kusaidia wapigania uhuru waafrika.
Waliishi nao maporini kama binadamu sawa.
 
BORA NISIMAME NA MTU ANAENISAIDIA KWA MASIMANGO KULIKO MTU ANAJIDAI MWEMA HUKU ANANIACHA NA SHIDA ZANGU.

URUSI HAIJAWAHI KUWA NA MSAADA MIUBWA KAMA WA HAO MABEBERU MNAOWAITA WANYONYAJI WAKATI WANAWASAIDIA HADI BAJETI YA NCHI

VIVA USA🇺🇸
 
Soma historia.
Warusi walitoa msaada kwa freedom fighters wa kusini mwa Afrika.
Walituma silaha, washauri na wakufunzi wa kijeshi, walituma askari wachache kusaidia wapigania uhuru waafrika.
Waliishi nao maporini kama binadamu sawa.
Labuda kidooog kisiasa na kiuchumi tabaka la juu kiutawala watajua lkn rais mmoja mmoja wakuishi nae huko mitaani mwee!! utanishawishi lkn kwa historia yao ilivoo??! waliyo mfanyia Dr cheka! mweee !! siwaaminiga hawa!!

ila napenda zipigwe washinde wao ili waweze ku ballance maisha ya weusi!! wao hawana uzoefu na unyonyaji kwa hiyo lazima tutapeta sana sisi weusi!! na kule west watatubembeleza tuwe kwao!! watapunguza dharau!

sisi tutachagua twende wapi kuzuri!! na mbegu yetu ni nzuri
 
FUATILIA VEMA HISTORIA YA PUTIN MWAKA HUO UNAOSEMA ALIKUWA TANZANI HAKUWA TANZANIA😂😂😂

REUTERS
A black and white image which some people falsely claim shows Russian President Vladimir Putin training liberation movements in southern Africa, has been circulating.
It has been used by some to justify why African countries should support Russia in the war in Ukraine
 
Nenda kaishi huko we mweusi ndiyo utajua walivyo

Ova
 
Sawa Beberu wakigharibi...Ila nchini kwetu hata muuza karanga katika mataa ya magomeni anaishi bila kuiba, hiyo ndiyo faida ya ujamaa...gepu Kati ya walionacho na wasionacho bado ndogo, Tanzania tuna mabilionea 5000 ova
 
Nenda kaishi huko we mweusi ndiyo utajua walivyo

Ova
Hao wala usipoteze muda kuwajaribu!! kwanza hawana cha fursa kwa wote wale! saana utapata mke au mme mweupe mifukoni! na pombe za bure!! angalia madaktari wote waliosoma urusi waleviiii umbwa!! km Dr Likoko wa kibaha Mweee!!

iliendaaa akaishia kuishi Chalinze tena uchochoroni tu jamani yule Babu alikuwa ana kunywa pombeeeee mpaka ana jinyea ni Mungu nisaidie! kwa pombe zile hakuzaa! sasa niende kufanya nini???....... hapo nimekupa ka mfano kadoogo tu!

wapo Madaktari wengi tu tena siyo wakali kwa visu na ustaarabu km wale waliosoma nchi za Magaharibi!.......shida tuuu ukienda kule utarudi na briefcase! na vitabu!! lkn USA mwee migari, mashine, matrekta viwanda, ukiwa mjanaja ndege!! akili mupya yaani kule

unaweza beba Hospital
 
Nani kamuua Robert Nesta Marley?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…