Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,384
- 4,409
- Thread starter
- #21
Kwenye swala la security. Some women feel secured with a guy taller than them...hata kukiwa na fujo unajificha nyuma yake...hahaha ila akimfupi tena hapo inakuwa ishu
ni kweli mkuu...
wana Jf wengi (men) waliochangia ni wafupi thats why wamepinga vikali sana.....
itabidi waanze kuvaa high hills shoes