Mkunde Original
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 807
- 647
- Thread starter
-
- #101
i wish i could hug you right now..(naona these days nakua sentimental kidogo)
kukata tamaa na jambo ambalo unaamini kuna a way (hata chance iwe ndogo vipi)is a crime (kwangu)
siko kwenye ndoa ila naamini kama relationships ni kama 24hrs jobs na inahitaji moyo wa ziada kwa sasa ili ndoa yako isimame,am not a fan of divorce maybe pale kunapokua hakuna nafasi kabisaaaa ya kujenga tena
i also believe on fasting and praying kwa kitu unachohitaji,Mungu sio kiziwi
fanya kila kitu ukiwezacho,ukishindwa just let it be..hutajuta baadae.pole
Mbona hujasema shida nini,? Anakupiga, anacheat, katoka na housegirl au halali nyumbani au mlev, hana bullet???
Habari zenu za week end MMU??
Nimejikuta najiuliza hili swali jioni hii bila jibu, najua kuna movie ya kimarekani inaitwa hivi na nilishawahi kuangalia ila nimekosa jibu ilikuwaje kuwaje nikaolewa memory imekata kabisaaaa hapa nilipo sielewi hat kwa nini bado niko ndani ya hii ndoa. May be am not a good wife and nimejisahau sitimizi majukumu yangu kama mke ila kwa nini haniachi? If I examine myself yeah ninamapungufu ila na siwezi kuwa mkamilifu kama malaika am trying my level best but sioni mwisho wa hii ndoa. Kifupi nimechoka na sina guts za kutoka mwenyewe hadi nifukuzwe yaani akithubutu tuu kunitimua hata usiku wa manane atakuwa kanipa ahueni but at the same time am not sure if I can at all survive on my own thats why sithubutu kutimka on my own. Ila kwa nini inakuwa tabu bin shida kila leo na yaleyale ndo yanajirudia? Nahisi uvumilivu wangu unaelekea negative sijui nikiwa dataz wife itasaidia yaani niwe sijali lolote niwe bora liende kwangu yote yawe sawa..........................????
Mkiona hivi kama ujue maji yamenizidi nguvu na nahisi kuzama na nikiangalia kulia, kushoto mbele na nyuma hakuna hata kijiti cha kushikilia walau kunisupport nisizame.
Am so down Mkunde mimi..........
Hayo ni mambo makubwa ambayo huwa yanatokea kwenye ndoa na baadhi yameshanitokea ila niliyasolve yakaisha sasa hivi vitu vidogo vidogo vya kupishana kiswahili ndo vinasababisha hata ujiulize na kuvumilia kwangu kote matatizo makubwa bado na haya madogo madogo yalete kero, kifupi ni kero ndogo ndogo, mfano naweza uliza umeruhusu house boy aondoke nani atashuhulikia ng'ombe au shamba? Jibu utakalopata utajuta kuuliza swali na hutatamani kuendelea na maongezi ni hivo tuu.
yan ujue nakuelewa katika namna huwezi elewa nakuelewa kiasi gani!I also have the hopes kuwa litapita, asante ila kuna muda daaah unatamani upige yowe kubwaaaaaa
Na hii ndio inayofanya ndoa iwe chungu wakati mwingine bora hata anaecheat ingawa haifai. Ndoa nyingi hufarakana si kwa tatizo kubwa ni mambo kama haya. Pia jaribu kufuatilia vizuri kwa taratibu ni kwanini anakua hajiamini kiasi hiki. Unajua wengine hujistukia sana hasa familia zenu kiuwezo kama zinapishana sana (uwezo wa wazazi). Na pengine huko nyuma aliumizwa kimalezi au ni mtu anaependa kususa.Ni kutokuelewana vitu vidogo vidogo tuu ambavyo unakuwa unavipuuzia lakini vikijaa chungu ndo hapo najikuta nimechoka na sina hamu ya kuendelea, kupishana kiswahili tuu pia kunaweza leta ugomvi, waweza uliza swali au kusema kitu mwenzio akatafsiri vingine na kumaanisha vingine ukishangaa kwa kutabasamu wakati ukimwambia mbona mie sijamaanisha hivo anachukia kuwa unamdharau na kumcheka wakati yeye kachukia basi ni vitu vya namna hiyo.
Nashukuru dhambi ya kutokulala nyumbani haipo ni vijimambo tuu vidogovidogo vinavokera.
.yan ujue nakuelewa katika namna huwezi elewa nakuelewa kiasi gani!
PIGA YOWE!
SCREAM!
MAKE A VERRRY BIG SHOUT!
upo kweny uhitaji wa kitu ambacho nakielewa sana!
Pole sana, Mlilie Mungu hakuna gumu kwake. Kama anakunyanyasa au anakukosea heshima kwa namna yoyote jaribu kumpotezea kwa muda ukiwa na nia moyoni ya kujenga ndoa yako. usiondoke, wanaume wengine ukiongea kila siku ndo wanazidi vurugu ila uki mu-ignore na ku assume huoni anafanyanini as long as haatarishi maisha yako huwa inasaidia. Fanya yale unayoona yanafaa kuokoa ndoa yako, zaidi muombe Mungu akupe amani moyoni, uache kuwaza ule vizuri, ulale vizuri ufanye kazi zako kwa amani. poleHabari zenu za week end MMU??
Nimejikuta najiuliza hili swali jioni hii bila jibu, najua kuna movie ya kimarekani inaitwa hivi na nilishawahi kuangalia ila nimekosa jibu ilikuwaje kuwaje nikaolewa memory imekata kabisaaaa hapa nilipo sielewi hat kwa nini bado niko ndani ya hii ndoa. May be am not a good wife and nimejisahau sitimizi majukumu yangu kama mke ila kwa nini haniachi? If I examine myself yeah ninamapungufu ila na siwezi kuwa mkamilifu kama malaika am trying my level best but sioni mwisho wa hii ndoa. Kifupi nimechoka na sina guts za kutoka mwenyewe hadi nifukuzwe yaani akithubutu tuu kunitimua hata usiku wa manane atakuwa kanipa ahueni but at the same time am not sure if I can at all survive on my own thats why sithubutu kutimka on my own. Ila kwa nini inakuwa tabu bin shida kila leo na yaleyale ndo yanajirudia? Nahisi uvumilivu wangu unaelekea negative sijui nikiwa dataz wife itasaidia yaani niwe sijali lolote niwe bora liende kwangu yote yawe sawa..........................????
Mkiona hivi kama ujue maji yamenizidi nguvu na nahisi kuzama na nikiangalia kulia, kushoto mbele na nyuma hakuna hata kijiti cha kushikilia walau kunisupport nisizame.
Am so down Mkunde mimi..........
ha haaa, umenichekesha sana hapa rafiki....... hivi ndo mnavyotufikiria tunataka muwe? kweli?wanawake wanataka wanaume tuwe kama TV...
ukitaka music,una badili channel,movie unabadili,news unabadili...
ikikuboa una switch off..TV...
we are humans....sio TV...
Hapo ndo nilikuwa napataka kwenye kugrow togather, narudi kule kule why did I get married? Yaani hata sielewi kwasababu nikianzisha idea lets do this itapingwa na itaishia hewani na mimi natafuta idea ingine itachambuliwa na kuonekana ni uharibifu wa hela na nyingine kutafutiwa sababu kwamba haifai haya ukisema yeye basi alete any idea so that we can go together anakwambia sina idea yoyote. ukinifatilia nilishaomba mtu anayejua kuogelea anifundishe hiyo ilikuwa moja ya idea ya kujilkep busy nikamuomba tujifunze wote week ends tuwe tunaogelea nikaambiwa nataka kumuua na maji akiwa mtu mzima wakati yeye hajui kuogelea nikaishia hapo maan ukiendelea sana inakuwa ugomvi kiufupi ni tabu bin shida looh
Bora huku tz nako tungefanya tu ndoa za mkataba. Unakaa na mtu anayekuudhi kama shetani unamchukia,mwisho wa siku tena unamsamehe mnaendeleza maisha ila bado anakuja kukupa tena maudhi yale2.
Pole mwaya vumilia yatakwisha.