MJ1 mwanzo sikuwa kabisa na ndoto za kuolewa maana nilikuwa kila nikiangalia marafiki walio kwenye ndoa asiliamia 80 walionizunguka walikuwa kama kosovo na chenchinia ukiingia kazini migogoro ya ndoa ukienda makanisani migogoro ya ndoa ...
kumbi za starehe ndo usisime wanatoka wamshikana mikoni kumbe moyoni hakuna mapenzi mwenzio kama lipo limepangwa lipo tu ...
akatokea jamaa alinichanganya kwanza upendo wa dhati sifa nilizokuwa nataka mwenzi wangu awe nazo alikuwa nazo hata kama si kwa 100% miaka ikaenda mala ikarudi nikapata ka ujauzito ambako kaliniongezea mapenzi tele kwa baba yake na kujikuta nasema yes mbele ya mashahidi
kumbe nilitest tundi before marriage
FL hii story yako mbona iko incomplete...endelea...halafu baada ya ndoa ikawaje?
This is very interesting thread........na kila mtu kweli ana sababu kwa nini alioa/aliolewa.
We're going to get married at the end of this year..........because we love each other.
madame usininyime kadi coz nataka niwe mmoja wa mashaidi wa tukio hili
Mh kibweka so wewe ilikuwa ni kwa ajili ya access tu ok. kilichokuchanganya juu ya hilo ni ujuzi wake au ile kuwa karibu tu ilitosha?
This is very interesting thread........na kila mtu kweli ana sababu kwa nini alioa/aliolewa.
We're going to get married at the end of this year..........because we love each other.
Huoni kwamba ulimpata baada tu ya kuwa ametoswa na huyo jamaa? Unadhani alikuwa na upendo wakweli na wewe, na kama ndivyo, kwanini akupende baada ya kukosa option?
-Huoni kwamba PIA ulimwoa kama hisani ya yeye kukutafutia kazi?
By the way we differ so much in the reason which got us into marrying the people we live with, SO MTU USIJISKIE OFFENDED for any reason whatsoever!
Na kwenye anniversary ya miaka 10 ya ndoa yangu utakuja?
Y not Xpin ..we nifahamishe tu hakuna noma wala nini
Utakuja na mzee? (sore off topic)
This is very interesting thread........na kila mtu kweli ana sababu kwa nini alioa/aliolewa.
We're going to get married at the end of this year..........because we love each other.
nakuja peke yangu kwani kila sehemu mpaka tuandame hahaha wewe binamu utakuwa na my wife hakuna shida hapo
I hope tutaalikwa tushuhudie tukio muhimu la ndugu yetu Pretty.
Offtopic mpwa, anzisha thread ya hili na mimi nitajibu tuhuma zote.Na wewe binamu rudi kwenye mada. Haya Jibu HILI: Je kama yule best friend wako aliyeamua kuuvunja ubesti frendi mpaka kuamua kuwa hubby wako angekuwa na kabamia, leo hii ungeendelea kuwa bestifrendi wake ilhali labda ungekuwa umeolewa na njemba nyingine? I mean, can you have a best friend of other sex while you are married? Na mume wako akamjua?
Offtopic mpwa, anzisha thread ya hili na mimi nitajibu tuhuma zote.
Jipya lipo hata appreciation kwa hayo yote aliyo/anayoyafanya inabidi ikufanye umuone wa pekee kila siku.