MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
Hey wenye jamvi, natumaini wote mu wazima!
Je unakumbuka ni sababu zipi zilikufanya uoane na mwenzi wako?
Ninaomba tujadili hili sababu kuu zilizokufanya uoane na mwenzi wako. Lengo la hii thread ni kutaka kujua zaidi juu ya sababu zile za ziada (wengi tumekuwa tukisimplify kwa sababu ya love peke yake) But ninaamini yapo mengi ambayo pengine yatasaidia hata wale ambao hawajaoa/olewa so that not to be blinded by love like it happed to some of us.
Kusema ukweli mimi nilikuwa deceived kwa yale malavidavi nlokuwa nalambishwa kiasi kwamba nilisahau kuangalia other aspects ambazo well zimenicost leo hii.
Please
_ Unadhani ni nini kilikufanya uoane na mwenzio/uamue kumuoa/ukubali kuolewa na mwenzi uliye naye?
_ Je unafikiri sababu hiyo iliyopelekea wewe kumuoa/olewa naye bado ipo hata baada ya maisha ya ndoa?