Why did I call you?


Kuna mtu aliwahi niambia kitu zamani nilishangaa mno
but its true
busara always ni kwa wazee zaidi....na vijana kulipuka it is right sometimes

Wanasema ikiwa vijana wataanza kuishi kama wazee..kwa kufuata busara sana
mwisho jamii itakuwa ni sawa haina vijana...ni jamii ya wazee zaidi....
so sometimes let vijana wawe vijana.....

nikiwa nadaiwa na lara 1 na naambiwa yuko nje ya nyumba yangu
itakuwa tofauti na nikiwa nadaiwa na FP
with busara za FP nita take advantage na ku relax
but with lara 1 nitahakikisha namlipa fasta kuepuka ugomvi...
 
Last edited by a moderator:
yaani hiyo kazi uliyoenda kuifanya inazidi kunitia hasira,
bora ungesema ulikuwa unampikia shem wangu, au ulikuwa kwenye mfidio, lol!

ahahahahhahah nataka uwe na hasira ili unipigie simu!
unafikir ntakubembeleza NTAZIDI KUKUPANDISHA HASIRA NIKKIKWAMBIA KILICHOFANYIKA NA KINACHOENDELA KUFANYIKA!
hehehehheh mfidio OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!UDUMU!
 
ha haaa, nakubaliana na wewe kabisa, vijana waishi kama vijana ili kuwe na mchanganyiko ambao dunia inapaswa iwe...
ila kwa mtazamo wangu, kumwacha mtu alipuke sidhani kama ni sahihi.
Kuna wale ambao wanalipuka, bila kuomba ushauri, hao wameamua kufanya wanalojisikia wanataka kulifanya, na hakuna atakayemlaumu baada ya kufanya alichokifanya.
lakini kuna watu, kama huyu, ambaye kabla hajalipuka anaomba ushauri, huyu inaonekana kabisa hajui la kufanya ndo maana anaomba ushauri. sasa akiangukia kwa mtu kama mimi, there is no way ntamshauri akalipuke, lazima nimtulize then kama kutakuwa na haja, baadae sana akishatulia naweza kumwambia ukweli kuwa alichofanyiwa hakikuwa sahihi na kumshauri afanye nini ili atendewe haki, kiuhakika kabisa atadai haki yake bila kulipuka
 
ahahahahhahah nataka uwe na hasira ili unipigie simu!
unafikir ntakubembeleza NTAZIDI KUKUPANDISHA HASIRA NIKKIKWAMBIA KILICHOFANYIKA NA KINACHOENDELA KUFANYIKA!
hehehehheh mfidio OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!UDUMU!
ha haaaa, wewe nakujua mbona! wala sitathubutu kuomba ushauri, lol! The Boss anasema tuwaache vijana muwe vijana.....
nikihitaji ushauri kwa babu Dark City......
 
Last edited by a moderator:

Nilipokuwa mdogo nilikuwa na wazazi very strict
sikuwa na uhuru hata wa kupigana kwani mwisho hata kama nilikuwa
na react na uonevu kesi itarudi kwangu
nikikumbuka naona iliniathiri my personality ukubwani
 
Nilipokuwa mdogo nilikuwa na wazazi very strict
sikuwa na uhuru hata wa kupigana kwani mwisho hata kama nilikuwa
na react na uonevu kesi itarudi kwangu
nikikumbuka naona iliniathiri my personality ukubwani
wewe unaweza kudhani imekuathiri, lakini ukikaa na kujifikiria sana unaweza usione hivyo.
mimi siamini kwenye ku-react.... siyo lazima jicho kwa jicho. ingawa kweli kuna kipindi unahisi kabisa unastahili kufanya hivyo, lakini umewahi kujiuliza unacho-gain kwa kufanya hivyo? na una-lose nini usipofanya hivyo?
binafsi nawapongeza sana wazazi wako kwa kuwa strict sababu walikufundisha kitu ambacho ukiwa mzee kama mimi utaelewa.....🙂
 

Unajua effect za ku suppress your true emotions?
 
Unajua effect za ku suppress your true emotions?
hiyo unaita ni ku-suppress?
kusingekuwa na washauri..... kila mtu tungeacha atimize hisia zake. pamoja na effects zinazotokana na hiyo lakini kuna advantage nyingi sana zinazotokana na hiyo pia
 
tell her
na mwisho ina affect personality ya mtu
hasa kama ni mtoto
mtu anapokushauri siyo kama ana-suppress your true emotions, ndo maana hakukatazi kufanya unachoamini bali anakufanya ukiangalie ina another angle, mwisho wa siku wewe ndo mwamuzi wa nini unaona ni sawa.
kwa mtoto (kama ilivyokuwa wanafanya wazazi wako), unatakiwa kumwonyesha unachoamini ni kizuri. ndo maana tunawashikia viboko tukiona tumeshawaambia mara kadhaa lakini hawasikii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…