Ccm inapendwa na Makundi mawili moja ni wanufaika wa mfumo hapa wapo wakuu wa vyombo na idara zote, viongozi wa dini,na wote ambao bila ccm ni lzm wafe njaa,pili ni future less people (wanyonge) Hawa ni mtaji wa wanasiasa unawapa elf 2,sukari,t shirt ,kofia na khanga wao wanakupa kura then unapotea 5yrs unarudi tena kuwanunua.
Why wanyonge,mnyonge ni mtu hoehae asiye na mbele yaani aliyefikia level ya juu ya kukata tamaa ya maisha hivo mwingine akikosa au akitumbuliwa ujihisi nafuu ya kuhalalisha kushindwa kwake,ni mtu mwenye chuki na waliofanikiwa akiamini umasikini na unyonge wake umeletwa na tajiri,ili uwe mnyonge ni lzm uwe mjinga,maana mjinga uamini matumaini hewa ( propaganda) za wanasiasa.
Ukiuondoa ujinga umeiondoa ccm case study ni ngome za ccm huwezi pata watu wanaojielewa wakachagua kupigia kura mateso yao.Watu wanaojielewa Wana reasoning.