Why can't this guy coexist peacefully with others


View: https://x.com/Shariakill/status/1903740779345916063
 
Tatizo hapo sio Uislamu bali tamaduni za kiarabu kutoka nchi wanazotoka; waislamu wa Afrika ni tofauti na mashariki ya kati na ni tofauti na wa Asia (taifa lenye waislamu wengi ni Indonesia na huwezi wahusisha na ukorofi dhidi ya madhehebu mengine)
 
Who said so?
Kama wakristo hawana furaha Ireland iweje Ireland ndo taifa lenye furaha zaidi duniani huko Rwanda na DRC hawana furaha kwasababu za kisiasa na si eti wao ni wakristo.
 
Nishaulizaga hili swali kwa marafiki zangu wa Kiislamu lakini hakuna jibu lililoniridhisha.
Majibu umeshapatiwa tayari Na mimi nakuongezea majibu.
Maeneo yote aliyotaja mleta Mada mathalan GAZA,YEMENI huko kote vurugu zao ni za ardhi Na madaraka Sio Dini.
Pia mleta Mada muongo kataja Misri Na Morocco kuwa hawaishi kwa furaha ilhali hizo nchi Zina Maisha mazuri Bongo hamuingii ndani.
Mkakaa Na kusahau kuwa Kuna Haiti,DR Congo,Ukraine,Mexico n.k je hizo nchi ni za waislam??
Mkaisahau UAE,OMAN,KUWAIT,QATAR,BRUNEI,MALAYSIA,INDONESIA,BAHRAIN,EGYPT je hizi Ni nchi za wakristo!????
 
Hahahaha,for your intentionally forgotten instance,Irelanders are listed among the happiest countries that any clad would love to visit,the Congolese conflict is all about Rwandee ideology of expansionism and wealth underground,Rwandase are not in conflict with one another because of religion but rather tribalism (en superiority complexion),For South Sudan,is a forgotten case where Islam fanatics are not happy with fellow Islamic men. Kenya is totally in a tribal aligned politics. Majority of Russian are contented with atheism and orthodontistism. Haitian and Mexican are all under a threat of drug dealers vs the incapable and untrustworthy govts. Dubai(if at all is a country according to you)Kuwait, Oman, Bahrain are civilized and staunch Muslims who majority are westernised compared to the brats of Afghanistan, Sudan, Balochistans of Pakistans, The shites of Yemen na Iran. Mentioning but a few lad!
 
Tatizo hapo sio Uislamu bali tamaduni za kiarabu kutoka nchi wanazotoka; waislamu wa Afrika ni tofauti na mashariki ya kati na ni tofauti na wa Asia (taifa lenye waislamu wengi ni Indonesia na huwezi wahusisha na ukorofi dhidi ya madhehebu mengine)

Ukisoma quran na Sunnah imekataza kabisa waislam kuwa na urafiki na wakristo.

Hata waislamu kuanza kuwasalimia wakristo njiani hawaruhusiwi

Imagine dini inafundisha chuki kwa wengine
 
Ukisoma quran na Sunnah imekataza kabisa waislam kuwa na urafiki na wakristo.

Hata waislamu kuanza kuwasalimia wakristo njiani hawaruhusiwi

Imagine dini inafundisha chuki kwa wengine
😂😂😂OMG😂😂😂 Mbona wewoooooo 😂😂😂
 

Thanks for a well researched report. The problem with these guys is, they hate everybody. The result of this is they hate even themselves.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…