Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa siku ya tarehe 2 asubuhi alitangaza kuwa iwapo CDM hawataheshimu amri ya polisi atawashughulikia ipasavyo na akasisitiza kuwa this time atadeal na viongozi na hatashughulika na wananchi waliohudhuria mikutano.
MwanaJF mmoja akatoa taarifa kwa mkopo (in advance) kuwa "polisi wamedhamiria kuua".
Dr. Slaa baada ya kusikia hayo "alichelewa" kufika kwenye mikutano ya ufunguzi wa matawi.
Hata hivyo, ilipofika wakati wa mazishi Dr. Slaa aliambiwa kuwa CDM haikaribishwi kama chama ila mtu anayetaka ahudhurie kama mwananchi wa kawaida. Slaa alikakamua misuli yote ya shingo mpaka a¨pate fursa ya kushika mike msibani - akafanikiwa.
Bottomline: Slaa ni msanii wa kisiasa...
I for one would like to know what kind of a bomb was used. It raises eyebrows when reports say it's a teargas bomb. I doubt a teargas bomb is designed to have so much explosive power to completely dismember human body. Teargas bombs are based on aerosol principle just like a spray can in our homes
Once again I feel the urge to raise this issue considering the fact that it's not the first time we have seen such a gruesome act. Concealing the truth guarantees impunity for those at the top at the expense of the junior cops. And that is not fair
I wonder to myself why the body of journalist Mwangosi was so hurriedly burried. And the worst part of it Prof Mwandosya and Dr. Slaa attended the burial. These two intelectuals were definitely not in touch with their senses at the time.Wait a minute, who knows? perhaps they consciously did take part in aiding and abetting the cover up of this horrendous crime! Simply because as more people get murdered the more our hatred toward the government is increased which in turn means CCM loses support
Actually, I was expecting them to distance themselves from what I see as a move to keep the truth secret. Or rather they were supposed to prevent the burial until thorough forensic tests have been performed

Acheni kumwonea Azipa. Mbona anaeleweka tu......na kwa kweli 'kibongobongo' kiingerezachake ni kizuri tu!...spelling mistakes za hapa na pale lakini tumemwelewa. Btw, "hurriedly" na "bury" (na hata "burry"!) ni maneno ya kiingereza.Re: Why Burry Mwangosi So Hurriedly?
Du kama mmegundua huyu jamaa ni michosho maana kanipotezea muda kuingia katika Kamusi ya Kiingereza (Concise Oxford English Dictionary - Eleventh Edition) hata Dictionary ya Computer katika Window XP kutafuta maneno
Burry, Hurriedly? hakuna maneneo hayo kabisaaa labda kwa kilugha....
Acheni kumwonea Azipa. Mbona anaeleweka tu......na kwa kweli 'kibongobongo' kiingerezachake ni kizuri tu!...spelling mistakes za hapa na pale lakini tumemwelewa. Btw, "hurriedly" na "bury" (na hata "burry"!) ni maneno ya kiingereza.
:focus:
Si umeona walioelewa wamechangia hapo juu na nyie mnaojua kiingereza vizuri ndio mmebaki manahangaika?Eti nini? ''Burry [sic] hurriedly'' inaeleweka vizuri kwa kiingereza cha kibongobongo? Aliyekuambia kuna kiingereza cha kibongobongo na kiingereza cha kimarekanimarekani nani?
Si umeona walioelewa wamechangia hapo juu na nyie mnaojua kiingereza vizuri ndio mmebaki manahangaika?
Si kwamba ni "kichwa" mpaka ameweza ku-decode ujumbe uliokusudiwa na aliyeleta post pamoja na kuwa umeletwa kwa "lugha mbovu"?Effectively, mtu yeyote anayechangia post iliyoandikwa kwa lugha mbovu na yeye ni kilaza tu. ....
Si kwamba ni "kichwa" mpaka ameweza ku-decode ujumbe uliokusudiwa na aliyeleta post pamoja na kuwa umeletwa kwa "lugha mbovu"?
Anyway, umesomeka...tusiharibu mjadala.
Watu bana!Anakuaje kichwa wakati hajui hata kuwa kilichoandikwa kimekosewa.
Once again I feel the urge to raise this issue considering the fact that it's not the first time we have seen such a gruesome act. Concealing the truth guarantees impunity for those at the top at the expense of the junior cops. And that is not fair
I wonder to myself why the body of journalist Mwangosi was so hurriedly burried. And the worst part of it Prof Mwandosya and Dr. Slaa attended the burial. These two intelectuals were definitely not in touch with their senses at the time.Wait a minute, who knows? perhaps they consciously did take part in aiding and abetting the cover up of this horrendous crime! Simply because as more people get murdered the more our hatred toward the government is increased which in turn means CCM loses support
Actually, I was expecting them to distance themselves from what I see as a move to keep the truth secret. Or rather they were supposed to prevent the burial until thorough forensic tests have been performed
I for one would like to know what kind of a bomb was used. It raises eyebrows when reports say it's a teargas bomb. I doubt a teargas bomb is designed to have so much explosive power to completely dismember human body. Teargas bombs are based on aerosol principle just like a spray can in our homes
Looks like you have taken leave not only of your faculties but your human attributes too!! hebu fikiria upya kuhusu hiki unacholalamikia hapa kisha upost mawazo yako tena! you do not have to comment on everything buddy!
Muwe mnaandika kiswahili tu kinatosha kabisa. Mambo ya 'protest the burial,' 'not the fast time' ni kutiana kichefuchefu tu.