Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa siku ya tarehe 2 asubuhi alitangaza kuwa iwapo CDM hawataheshimu amri ya polisi atawashughulikia ipasavyo na akasisitiza kuwa this time atadeal na viongozi na hatashughulika na wananchi waliohudhuria mikutano.
MwanaJF mmoja akatoa taarifa kwa mkopo (in advance) kuwa "polisi wamedhamiria kuua".
Dr. Slaa baada ya kusikia hayo "alichelewa" kufika kwenye mikutano ya ufunguzi wa matawi.
Hata hivyo, ilipofika wakati wa mazishi Dr. Slaa aliambiwa kuwa CDM haikaribishwi kama chama ila mtu anayetaka ahudhurie kama mwananchi wa kawaida. Slaa alikakamua misuli yote ya shingo mpaka a¨pate fursa ya kushika mike msibani - akafanikiwa.
Bottomline: Slaa ni msanii wa kisiasa...
Umeona wapi mwanasiasa ambaye si msanii? Aliandika Marehemu Shabaan Robert....."Siasa ni Propaganda" m