Yah lakini hata pure african wa mijini sasa hivi wapo hivyo
Kwasabab miili yetu inajoto sana na tuna radha
Problem ni jinsi akina dada wa siku hizi wanavyo argue, with cursing, shouting, disrespect, mwanaume akiback down au kukimbia kabisa wanasema u can't handle strong black women...Its my nature. A man has his place but I refuse to compromise in what I believe in. I have a right to my own opinion.
Problem ni jinsi akina dada wa siku hizi wanavyo argue, with cursing, shouting, disrespect, mwanaume akiback down au kukimbia kabisa wanasema u can't handle strong black women...
Just stereotypes of black women misunderstood!
I know latinas who are argumentative, I know blondes who like to fight, I know brunettes who think they are all that and a bag of chips, I know Italian women who think their shit don't stink, and I know Tanzanian women who think they are divas....
Who is your favorite rapper of all time?
Huyu anaongelea black americans zaidi maana wana midomo 🙂
Hawa asili yao si wezt afrika hawa...itakuwa kwenye damu...wa west wana mikelele huwezi jua kama wanaongea au wanagombana...mpaka waweza sikia aibu kwa niaba...
I gotta go with Pac....
Only because he was so intelligent and he managed to blend social consciousness and entertainment so well.
'Brenda's got a baby' and 'Part time mutha' are some of my favorite Pac tracks.
Who's yours?
black american ni zaidi aisee wanamidomo na matusi sijapata ona na hawakubali kushindwaYah lakini hata pure african wa mijini sasa hivi wapo hivyo
Mbona post yako haina kitu? I wanna argue with you, my black brother!
Yani kama chuchunge...