Dr.Mo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 3,809
- 1,655
- Thread starter
- #41
black american ni zaidi aisee wanamidomo na matusi sijapata ona na hawakubali kushindwa
wamezidi sana na sio kwa wanaume tu hata kwa wanawake wenzao wanapenda drama...na wamekaa kishari shari mno..mimi napanda metro yaani kila wiki lazima kuwepo na drama kwenye basi...ni kama wanatembea na hasira hivi...but they call them selves strong black woman..!!!