Why are black women so argumentative? Melisa Ortiz anasema kweli?

Why are black women so argumentative? Melisa Ortiz anasema kweli?

Kwasabab miili yetu inajoto sana na tuna radha
 
Nasubiri mwenye mada aweke nyama kwenye skeleton ili mada ipate kuchangiwa kwa kiwango cha kuridhisha kitakachoongezea watu maarifa.
 
African Americans vs. Africans. Big difference. This does not apply to the average Tanzanian man or woman.
Hamna tofauti sana.. Hasa wa mjini kama hapo dar salama.. Wengi ni siku hizi na argumentative..yaani wana ule ubishi wa kubisha hata mambo ya msingi(ikichangia na elimu fake ya kuokota kwenye mitandao nk), wengi sasa hivi wanaaminishwa kumuheshimu na ku aknowladge nafasi ya mwanaume ni ujinga, wengi hawataki uafrica kutwa wanaangaika na nywele bandia na kubadilisha ngozi, ila kwenye video video anaongelea ubishi na ujuaji tu unaofanywa siku hizi na ule ubishi na ujuaji wanauta ni strong black woman...
 
Back
Top Bottom