MIMI NAOMBENI NIWASHAURI DADA ZANGUNI HASA AMBAO HAWAJAOLEWA:
1. Jitahididi msichague wapenzi kwa sifa ya kuwa na PESA, NYUMBA, GARI AU MALI, badala yake angalia vigezo vingine mbali na hivyo nilivyotaja hapo juu kama vile TABIA NJEMA, SIFA NJEMA, ANGALAU ELIMU, IMANI YAKE JUU YA MUNGU, HOFU YAKE KWA MUNGU, HURUMA, UAMINIFU, N.K ILA IKITOKEA mwenye sifa nzuri unazozitaka na akawa na gari, nyumba, pesa n.k ni bahati yako na Mungu ataibarikia ndoa yako/ uhusiano wako.
2. Epuka kuwa mtu wa kujirahisisha kutoa/kugawa penzi la saa sita, yaani mtu kakutongoza mchana tu jioni ushamvulia chupi. Kwa namna hii kwa kweli utaishia kujuta kwa kuwa kwa muda mfupi namna hii huwezi kumjua na kumtofautisha mtu anayekupenda na yule anayetaka tu penzi lako. take time of being close to each other at least one to two months more than that.
3. Epukeni mapenzi ya njiani. Mkishaweka mapatano ya kuwa wachumba kama kweli wewe na yeye mna nia ya dhati kwa nini ukubali kufichwa fichwa?? kila ukikutana na rafiki yake anakutambulisha wewe kama rafiki yake tu wa kawaida, hataki wewe ujue anapokaa, hataki uwajue ndugu zake, kila mkikutana ni guest tu, WHY??? HUSHTUKI TU KWAMBA HUYU MNDU HANA MAPENZI YA KWELI NA WEWE?? Kwa nini hataki ufike kwake? hataki ujue anapoishi??? CHAA!!!!!
4. Huwa wadada mna kawaida ya kuwapenda wasiowapenda na kuwarukia wanaowatamani tu. Hapa ni pagumu kupaelezea lakini tumieni utashi wa kimungu ili msiwakatae walio waume zenu na kuwakimbilia mapaparazizi.
NIISHIA HAPA KWA LEO; OTHER WISE POLE SANA DADA
Ruppy karenston. USIJALI JIPANGE TU KWA MUNGU ATKUPA UBAVU WAKO NAWE UTAISHI MAISHA YA RAHA USHANGAE. NAKUPENDA SANA NA NINAKUOMBEA MUNGU AKUPE UTULIVU WA NAFSI NA AKILI.