Wholly unacceptable!!

Wholly unacceptable!!

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,070
Reaction score
136,481
This is some joke business.

Eti kashinda kwa asilimia 97!

Wameamua kuzitusi waziwazi kabisa akili za Watanzania.

Wanatuambia kwamba sisi ni mazuzu na hatuna akili na kwamba wanaweza kufanya chochote watakacho.

No way, no how!

97%…..are you kidding me?

Tusikubali kabisa kufanywa mazuzu kiasi hiki.
 
Hawa jamaa sasa watawaumiza sana Watanzania.
 
This is some joke business.

Eti kashinda kwa asilimia 97!

Wameamua kuzitusi waziwazi kabisa akili za Watanzania.

Wanatuambia kwamba sisi ni mazuzu na hatuna akili na kwamba wanaweza kufanya chochote watakacho.

No way, no how!

97%…..are you kidding me?

Tusikubali kabisa kufanywa mazuzu kiasi hiki.
Yani hawa ma-vampire, wanatudharau ile mbaya, it pain a lot kwakweli. Tusikubali kabisa huu uhuni, lazima tupambane kwa vyovyote kadiri inavyowezekana
 
Kwa nini tufanywe mazuzu namna hii katika nchi yetu wenyewe?

What’s wrong with us?
 
Kabisaa yaani pamoja na hali ilovyotokea ila hawataki kuachia madaraka kabisaa....Itakuwa wametengeneza hela vibaya sana hapa wanawaza wakitoka madarakani basi watanyanganywa kila kitu.....
Hivi ndivyo ambayo nchi huteketea na kuharibika kabisa
 
This is some joke business.

Eti kashinda kwa asilimia 97!

Wameamua kuzitusi waziwazi kabisa akili za Watanzania.

Wanatuambia kwamba sisi ni mazuzu na hatuna akili na kwamba wanaweza kufanya chochote watakacho.

No way, no how!

97%…..are you kidding me?

Tusikubali kabisa kufanywa mazuzu kiasi hiki.
Huo Mchezo wa kutuona sisi hamnazo ulianzia pale walipo tutangazia idadi ya waliojiandikisha kwenye daftari.. hii 97% ni muendelezo wa hayo magumashi yao...
 
Back
Top Bottom