achenu ujinga wenu nyie watu, hakuna anayemuumiza mwenzake, but unajiumiza mwenyewe. sikia nikueleweshe kitu hapa ambacho kinaweza kukusaidia sana
kinachokufanya kuumie siyo jambo ulilotendewa, bali ni jinsi wewe mwenyewe utakavyochukulia lile jambo. kwa maana hiyo kinachokufanya uumie siyo lile jambo bali ni fikra zako. kwa mfano, nimempenda sana msichana, nikamsomesha mpaka chuo kikuu au level flani kwa matarajio kuwa atakuwa mke wangu, mwisho wa siku akasepa. ukiwapa scenario hiyo watu tofauti, kuna atakaye kwambia aisee patachimbika, mwingine, atatoa ushauri tofauti, na kila kitu. sasa katika hali hii, ile reaction utakyochukua baada ya jambo hilo ndiyo itakayo kuumiza
ok, fikiria umemfumania mke wako au mume wako!, kitakachokuumiza siyo fumanizi, ni jinsi utakavyolichukulia hilo fumanizi, mwingine anaua hapo hapo, mwingine anampa pole mkewake, na kumwambia twendezetu home mpz, mwingine anadai fidia tu anasepa zake.
ndiyo mana sasa, kunakitu kinachoitwa ukomavu wa hisia, au "emotional maturity" kwa kikoloni, au kwa lugha nyingine wanasema ukubwa wa kifua. kama kifua chako kinaweza kulibeba jambo, then maumivu ni madogo, na kama haliwezi hapo utadata, kwahiyo kinachokufanya udate siyo jambo, bali imaturity yako.
jifunze kukua kihisia na trust me hautaumizwa kamwe
maumivu yote sio ya mapenzi tuachenu ujinga wenu nyie watu, hakuna anayemuumiza mwenzake, but unajiumiza mwenyewe. sikia nikueleweshe kitu hapa ambacho kinaweza kukusaidia sana
kinachokufanya kuumie siyo jambo ulilotendewa, bali ni jinsi wewe mwenyewe utakavyochukulia lile jambo. kwa maana hiyo kinachokufanya uumie siyo lile jambo bali ni fikra zako. kwa mfano, nimempenda sana msichana, nikamsomesha mpaka chuo kikuu au level flani kwa matarajio kuwa atakuwa mke wangu, mwisho wa siku akasepa. ukiwapa scenario hiyo watu tofauti, kuna atakaye kwambia aisee patachimbika, mwingine, atatoa ushauri tofauti, na kila kitu. sasa katika hali hii, ile reaction utakyochukua baada ya jambo hilo ndiyo itakayo kuumiza
ok, fikiria umemfumania mke wako au mume wako!, kitakachokuumiza siyo fumanizi, ni jinsi utakavyolichukulia hilo fumanizi, mwingine anaua hapo hapo, mwingine anampa pole mkewake, na kumwambia twendezetu home mpz, mwingine anadai fidia tu anasepa zake.
ndiyo mana sasa, kunakitu kinachoitwa ukomavu wa hisia, au "emotional maturity" kwa kikoloni, au kwa lugha nyingine wanasema ukubwa wa kifua. kama kifua chako kinaweza kulibeba jambo, then maumivu ni madogo, na kama haliwezi hapo utadata, kwahiyo kinachokufanya udate siyo jambo, bali imaturity yako.
jifunze kukua kihisia na trust me hautaumizwa kamwe
Nakumbuka 1990's after my parents' death, kipindi cha kufatilia mirathi... Upande wa Mzee ukiongozwa na babu walitukataa kabisa watoto wa marehemu mahakamani wakidai ndugu yao (baba) hakuwahi kuoa wala kuwa na watoto...
Cha kushangaza zaidi baadhi yao walikulia nyumbani kwetu na kusomeshwa na mama kipindi Mzee anaugua....
achenu ujinga wenu nyie watu, hakuna anayemuumiza mwenzake, but unajiumiza mwenyewe. sikia nikueleweshe kitu hapa ambacho kinaweza kukusaidia sana
kinachokufanya kuumie siyo jambo ulilotendewa, bali ni jinsi wewe mwenyewe utakavyochukulia lile jambo. kwa maana hiyo kinachokufanya uumie siyo lile jambo bali ni fikra zako. kwa mfano, nimempenda sana msichana, nikamsomesha mpaka chuo kikuu au level flani kwa matarajio kuwa atakuwa mke wangu, mwisho wa siku akasepa. ukiwapa scenario hiyo watu tofauti, kuna atakaye kwambia aisee patachimbika, mwingine, atatoa ushauri tofauti, na kila kitu. sasa katika hali hii, ile reaction utakyochukua baada ya jambo hilo ndiyo itakayo kuumiza
ok, fikiria umemfumania mke wako au mume wako!, kitakachokuumiza siyo fumanizi, ni jinsi utakavyolichukulia hilo fumanizi, mwingine anaua hapo hapo, mwingine anampa pole mkewake, na kumwambia twendezetu home mpz, mwingine anadai fidia tu anasepa zake.
ndiyo mana sasa, kunakitu kinachoitwa ukomavu wa hisia, au "emotional maturity" kwa kikoloni, au kwa lugha nyingine wanasema ukubwa wa kifua. kama kifua chako kinaweza kulibeba jambo, then maumivu ni madogo, na kama haliwezi hapo utadata, kwahiyo kinachokufanya udate siyo jambo, bali imaturity yako.
jifunze kukua kihisia na trust me hautaumizwa kamwe
Nina mashaka ww si Binaadam...Binaadam hawezi kuwa na moyo wa jabali kama wako
Msikilize hapo Michael Bolton "Im not made of steel"
maumivu yote sio ya mapenzi tu
Step mom kwa kipigo na kuambiwa nimetapikwa kila nilipokosea. My father kwa kukataa kunisomesha(GOVT) akidai hana pesa na kumsomesha step bro(PRIVATE). Nimetembeza bakuli mpaka form 6 nikakwama. After 3yrs uraiani nikaolewa Mr. akaniendeleza sasa nina Masters.
achenu ujinga wenu nyie watu, hakuna anayemuumiza mwenzake, but unajiumiza mwenyewe. sikia nikueleweshe kitu hapa ambacho kinaweza kukusaidia sana
kinachokufanya kuumie siyo jambo ulilotendewa, bali ni jinsi wewe mwenyewe utakavyochukulia lile jambo. kwa maana hiyo kinachokufanya uumie siyo lile jambo bali ni fikra zako. kwa mfano, nimempenda sana msichana, nikamsomesha mpaka chuo kikuu au level flani kwa matarajio kuwa atakuwa mke wangu, mwisho wa siku akasepa. ukiwapa scenario hiyo watu tofauti, kuna atakaye kwambia aisee patachimbika, mwingine, atatoa ushauri tofauti, na kila kitu. sasa katika hali hii, ile reaction utakyochukua baada ya jambo hilo ndiyo itakayo kuumiza
ok, fikiria umemfumania mke wako au mume wako!, kitakachokuumiza siyo fumanizi, ni jinsi utakavyolichukulia hilo fumanizi, mwingine anaua hapo hapo, mwingine anampa pole mkewake, na kumwambia twendezetu home mpz, mwingine anadai fidia tu anasepa zake.
ndiyo mana sasa, kunakitu kinachoitwa ukomavu wa hisia, au "emotional maturity" kwa kikoloni, au kwa lugha nyingine wanasema ukubwa wa kifua. kama kifua chako kinaweza kulibeba jambo, then maumivu ni madogo, na kama haliwezi hapo utadata, kwahiyo kinachokufanya udate siyo jambo, bali imaturity yako.
jifunze kukua kihisia na trust me hautaumizwa kamwe
kwa kusoma hizi comment unajihisi kumbe hauko peke yako uliokumbwa na matatizo.kwa yaliyonikuta,kuna baadhi ya watu nimewasamehe otherwise nisinge move on.ila kuna mmoja huyo,simsamehe maisha kwa alivyo take advantage,ilini affect mno till now,wakati ni kitendo cha miaka mingi nyuma
Hahaha......nitampatia Breast massage
Hot stone massage nayo poa sana