Who will succeed Sir.Alex Ferguson?

Who will succeed Sir.Alex Ferguson?

Hujasomeka mkuu funguka kidogo.

yani nje ya wales,Britain,Scotland,Republic of Ireland..na Fergie amemzungumzia MOYES miaka mingi na alikuwa anampenda kwa mpira wake na ni Mskochi mwenzie
 
Pamoja na kuchukua makombe mengi mimi uwa namuona babu kama siyo kocha bora uwa sijui kwa nini,naona kama kuna vitu fulani vinamsaidia, mfano historia ya timu,muda aliokaa hapo Man u,kuogopwa na wachezaji kwa hiyo wanajituma mara mbiri,timu kubebwa,utajiri wa timu n.k. ni maoni tu.

Yaani wewe unajipiga konzi mwenyewe alafu unashangaa Dah!
 
Back
Top Bottom