Who will succeed Sir.Alex Ferguson?

Who will succeed Sir.Alex Ferguson?

Mourinho

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
4,619
Reaction score
2,328
Naomba tujadili nani atamrithi Fergie coz it is rumored kwamba may be after two seasons, Fergie will call it a day at Utd and Man Utd directors wameshaanza kutafuta for a possible replacement.

Wanaotajwa sana kumrithi Fergie ni Guardiola, Mourinho, David Moyes na wengine wadau mtaongezea.
Kwa Pep na Jose their records speak for themselves, hawa ni top top world class Managers, sitawajadili.

Personally ntapenda kumuona David Moyes akimrithi Fergie. Kwa muda aliokaa Everton (10 years) though hajawin kitu kikubwa zaidi ya FA cup runner-up in 2009, 4th finish kwenye msimu wa 2004-05, 5th finish in 07-08, ameweza kwa budget ndogo sana, kuifanya everton kuwa tishio kwenye ligi.
Msimu huu wameanza very strong na ana wachezaj wazuri kama Baines, Pieenar, Fellaini, Jelavic, Osman ambao kama hawataathiriwa na majeraha wanaweza maliza ndani ya top 5 this season. Sasa imagine angekua na budget ya kutosha angekua na kikosi cha aina gani.
And it is believed that in 2010 Fergie endorsed Moyes as his successor when he retires.

Moyes ana personality inayomuwezesha kuwa manager wa any club in Britain na kwa msaada kidogo wa budget he can be as success as Mou and Pep.
 
According to the sun, kuna uwezekano mkubwa (they said100%) wa Guardiola kwenda Man City at the end of the season taking into consideration kwamba Sports Director wa Man Cty ndie mtu aliyempa Guardiola ukocha wa team ya wakubwa ya Barcelona
 
According to the sun, kuna
uwezekano mkubwa (they said100%) wa Guardiola kwenda Man City at the
end of the season taking into consideration kwamba Sports Director wa
Man Cty ndie mtu aliyempa Guardiola ukocha wa team ya wakubwa ya
Barcelona

ww vp mana nawe pale santiago hapaendi sawa?
 
ww vp mana nawe pale santiago hapaendi sawa?

Hahahahaa, hata pale wameshaanza kuline up for Mou's successor, Benitez akiongoza race kutoka kwa kura za mashabiki akifuatiwa na Joachim Low na Michael Laudrup, so chochote kinaweza kutokea especially if they are knocked out of UCL
 
And now Guardiola is out of the way, there is a green light for Moyes!
 
Hata mimi ningependa Moyes aende OT. Amefanya kazi nzuri na Evarton licha ya kuwa na bajeti ndogo. Sasa hivi baadhi ya wachambuzi wanaitabiria Evarton kuwa serious contender next season kama wachezaji wao hawatahamia timu nyingine. Pia Moyes alikuwa beki hivyo hiyo itasaidia sana.
 
The problem with modern football kama huna pesa its hard to keep your good players, itakulazimu tu kuwauza, ulipe madeni, ujaribu kuvibalansisha vitabu vya club, but I real wish for him wapate hata champions league spot ili kuwa convince kina Fellain wasiondoke
 
Ilionekana kama ndoto wakati naanzisha huu uzi but now it's a reality.
Man Utd fans mjiandae kupigania nafasi ya 4 kwa misimu miwili hadi mitatu ijayo kama wanavyofanya Arsenal na Chelsea kwa sasa.
 
Naona uwezekano wa Mourinho kwenda OT na kuja kuanza kwa anguko la Man U.
 
Naona uwezekano wa Mourinho kwenda OT na kuja kuanza kwa anguko la Man U.

Inasemekana Mourinho keshasaini Chelsea kwa hiyo uwezekano wa kumrithi Fergie ni mdogo. David Moyes ndiye mrithi wa Fergie pale Traffold.
 
Mkuu wewe ni shabiki wa Man Utd? If so, wewe ungependa au unadhani nani atafaa kumrithi babu?

yani mimi ni mnazi wa man. utd, kwa haraka haraka ningependa Moyes abebe mikoba ya babu, mourinho simuamini kabisaa.
 
Inasemekana Mourinho keshasaini Chelsea kwa hiyo uwezekano wa kumrithi Fergie ni mdogo. David Moyes ndiye mrithi wa Fergie pale Traffold.

Akija atakuwa na kazi ngumu sana. Kuna uwezekano Man u na wenyewe wakaja kuwa wanabadili badili makocha hadi kuja kumpata hasa wa kuziba pengo lake kama timu alizopita Mourinho wanavyofanya sasa.
 
Byee... Fergie
Well come
ze
The death of Manchester United

Aaah! Na mimi naona dalili hizo manake babu BPL ilikuwa kiganjani mwake kuanzia marefa hadi FA wenyewe. Bora akapumzike labda na sisi msimu ujao tutapumua kwa sie wenye timu ugonjwa wa moyo.
 
Aaah! Na mimi naona dalili hizo manake babu BPL ilikuwa kiganjani mwake kuanzia marefa hadi FA wenyewe. Bora akapumzike labda na sisi msimu ujao tutapumua kwa sie wenye timu ugonjwa wa moyo.

ha ha ha haaah!! Mkuu labda nasi arsenal yetu inaweza kuibuka sasa.
 
Back
Top Bottom