Who will succeed Sir.Alex Ferguson?

Who will succeed Sir.Alex Ferguson?

Mstuko kwa wengi ni mourinho kutua Old T. Baada ya kuonekana Chelsea iko vizuri sasa chini ya kocha wa mpito.
 
Moyes hatoenda O.T wala nini. Sam Allardyce ndo atakuwa Manager wa Man utd.LOL
 
Moyes is nothing but media hype. He wont guarantee you a trophy or even competing for trophies every season. He is just above average manager. Trust me on that.
 
Jurgen Klopp anaweza kuwa surprise ya mwaka hapa!
 
Pamoja na kuchukua makombe mengi mimi uwa namuona babu kama siyo kocha bora uwa sijui kwa nini,naona kama kuna vitu fulani vinamsaidia, mfano historia ya timu,muda aliokaa hapo Man u,kuogopwa na wachezaji kwa hiyo wanajituma mara mbiri,timu kubebwa,utajiri wa timu n.k. ni maoni tu.
 
Breaking News- moyes to be named a Alex Ferguson successor tomorrow on BBC. He won't last two seasons at old trafford
 
[h=1]Premier League - Moyes set to be named United boss within 24 hours[/h][h=2]The Times has claimed that David Moyes will be named Manchester United manager within 24 hours, with other sources claiming Phil Neville could be named his assistant.[/h]
 
Club ya Man utd haiwezi ongozwa na mgeni nje ya Uk
 
Back
Top Bottom