Wanaolalamika ni Main stream media na wajinga flan hata kura hawakupiga. Hillary halalamiki, Obama halalamiki! Na hizo Electoral votes si kwamba zimeanza kutumika leo. Ni system wanayotumia miaka mingi hivyo ukilalamiaka ni upumbavu. Hawa watoto wanajipanga barabarani na kuharibu mali za watu pasipo sababu. Wakati wazazi wao wanaenda kupiga kura wao walikuwa wanacheza video game matokeo yametoka eti wanaandamana.What? Are you sure you are making any sense? Wanaolalamika ni hawa 60 mill. wa Hillary ndiyo maana inaonekana kuwa malalamiko ni mengi sana.
Kama isingekuwa Electoral College nani leo angekuwa rais?
Perfect kichomizUzuri USA hakuna sisiemu
Uzuri USA hakuna sisiemu
View attachment 433304Huyo ni mtoto wa will smith ndo amepost hyo picha.ni picha yenye maana kubwa na tafsiri pana sana.jiulize kwanini hyo barabara mbele hakuonekani?
Acha kutisha watu.Chunga vidole vyako
Warudi kuishi Kama mashetaniIli warudi msote wote?
Kwa nini mkuu?Naona mkuu unatafuta wafuasi, yani nilikuwa karibu ku-click like nikakumbuka nipo bongolanda...