Who really killed Prof. Mwaikusa?

Juhudi za Prof Mwaikusa zilikuwa zinalenga kuanika ukweli juu ya uongo wa kuwa Rwanda kulikuwa na mauaji ya kimbali wakati hayakuwepo.

1. Alitetea kuwe na uwezo wa ICTR kujiridhisha kwa kutemebelea eneo la tukio ili kujionea ukweli. hii ingeepusha ushahidi wa kufundishwa unaotolewa mahakamani na mashahidi wengi.

2. Alitetea wafungwa wa ICTR watumikie adhabu zao mahali pengine na siyo Rwanda kwani wakienda Rwanda ni Kifo. Kwa watutsi ilikuwa lazima wahakikishe wamemuondoa

Connection ya Paul Kagame through Salva Rweyemamu ambaye ni mtusi, na by then Director wa Statehouse Communication ndiyo waliomuua Prof Jwani Mwaikusa. Wale hitmen walioshikwa wali confirm. Hapo ukawa ndiyo mwisho wa upelelezi na faili likafungwa. Salva Rweyemamu was untouchable kwenye JK era. RIP Prof Jwani Mwaukusa. Story zingine zote zipuuzeni ni conspiracy theories tu.
 
TISS wanajua ukweli kua Kigali ina mkono wake katika kifo hiki pia Rev Mtikila kagame ktk EAC hakuna nchi hata moja ambapo hajauwa watu kuanzia Tz, Knya ,Ugnda hadi Burndi lakini watawala wa nchii hizi wanamwangalia tu!
 
Wa TZ kagame cjui katushika wapi TISS wanajua ukweli ila wametulia Kigali ilimuua Rev Mtikila cjui hatma ya watu hawa na haki za wafiwa
 
Rwanda mauaji ya kimbari yalikuwepo, ila hayakuwa ya watusi tu, yalikuwepo pia ya wahutu. baada ya kagame kuchukua nchi na kuona watu wake wa kitusi wengi wameuawa, alianza kampeni ya kupunguza wahutu, aliua wengi karibia alfu hamsini, kule congo alienda kuwateketeza mno kwenye makambi ya wakimbizi. alichokuwa anakisema mwaikusa ni kwamba kama wateja wake wanashitakiwa, basi hata kagame anatakiwa kushitakiwa. akawa ametibua sharubu za simba asiyemjua.
 
Ni kweli kabisa. Kwa sasa jamii ya kimataifa inaona kama Rwanda "kumetulia", la hasha anachofanya Kagame ni kufukia moto kwa majivu.

Yeye hawezi kuishi milele, na atakapokuja kutoka madarakani, kutakuwa na kisasi cha hatari toka kwenye jamii aliyoikandamiza.
 
Hali ya Mambo itakuwa mbaya huko mbeleni kwa kina 'matusi tusi' Kama wasipojiandaa vizuri...
 
TISS wanajua ukweli kua Kigali ina mkono wake katika kifo hiki pia Rev Mtikila kagame ktk EAC hakuna nchi hata moja ambapo hajauwa watu kuanzia Tz, Knya ,Ugnda hadi Burndi lakini watawala wa nchii hizi wanamwangalia tu!
Wanamuogopa.
At the end ni mjinga tu ataelewa kwamba you mjinga akishakua Mzee atajiona ajafanya kitu zaidi ya kuukimbiza upepo.
Mtu mwenye akili timamu hawezi ua mtu hali nae atakufa na ataviacha vyote.Yupo wapi nkurinziza, jiwe, Mobutu,mugabe, savimbi, banda,moi,iddi Amin,bokasa kuuwa kwao watu kumewasaidia nini?
Unamtanguliza mtu then unamfuata una akili wewe si ni takataka.Kuuwa kungekuwa na maana kama utaishi milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…