Who know zeno of elea??

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Zeno of Elea was a Greek philosopher famous for posing so-called paradoxes which challenged mathematicians' view of the real world for many centuries.
sasa wakuu naomba msaada zaidi kama kuna mtu mwenye maelezo zaidi kuhusu paradoxes za huyu jamaa.thanks!!
 
je huyu professa alikuwa muongo?..manake anakwambia katika concept zake kuwa kobe anaweza kumzidi binadamu katika riadha..lakini kwa nini calculation zake zinatoa jibu sahihi?
 
nyani,nenda kapumzike nimeambiwa watu hawapendi kusoma hili jukwaa hasa topics kama hizi labda kajaribu kwenye mahusiano na mapenzi au siasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom