WHO IS WHO: Luteni Jenerali Venance Salvatory Mabeyo

View attachment 436344

Huyu kwa sasa (Nov 19, 2016) ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) aliyejaza nafasi iliyoachwa wazi na Luteni Jenerali(mstaafu) Samuel Albert Ndomba.

Natamani kujua historia yake:

Yeye ni nani?
Ametokea wapi hadi kufikia nafasi aliyo nayo?
Atakuwa mrithi wa Mwamunyange?
Ni mzaliwa wa mkoa gani?
Duuh..Kuna kazi..
 
Ni Mtanzania what has region(mkoa) got to do na Utanzania wake acha kuleta siasa za Kenya na Rwanda Burundi. Umeshindwa through dini sasa waleta ya mikoa!
 
Huyu kwa sasa (Nov 19, 2016) ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) aliyejaza nafasi iliyoachwa wazi na Luteni Jenerali(mstaafu) Samuel Albert Ndomba.

Natamani kujua historia yake:

Yeye ni nani?
Ametokea wapi hadi kufikia nafasi aliyo nayo?
Atakuwa mrithi wa Mwamunyange?
Ni mzaliwa wa mkoa gani?

Duuh! Kumbe kuna watu waliliona hili mapema sana
 
part #3 tokea nipo mdogo nakumbuka kuwa taarifa za baba Nerry zilikuwa ni highly classified ukilinganisha na wazee wengne pale mjengon ambao wao tulikuwa tukiwafaham kwa sana pia nakumbuka kuna kipindi niliwah kumuliza father wangu kuwa mbna nyota za baba Nerry began zinang'aa sana tofaut na za wengne mzee akanambia nisihoj mambo ambayo hata nikielezwa sitaelewa

kama nlivosema hapo juu huyi father inasemekana alikuwa mkuu wa kitengo cha ujasusi jeshini na ndio maana kuna fununu ziliwah kuvuma kuwa kuna nchi za ulaya zilimkataa alipoteuliwa kuwa baloz katika nchi zao kwa kuhofia kuwa alikuwa ni jasusi hatar so walihisi anaeza kuwa anaenda kwa madhumuni mengne!
Ulaya wanamuogopa Jasus kutoka
Hatar sana
 
Hatuna shida na kabila lake mkuu .
IMG_-vck5r1.jpg
 
CDF ni nafasi ya kuteuliwa na Amiri jeshi mbona Kwa Mwamnyange walisema ni JKT lakini akawa CDF hata luteni general Mabeyo atakuwa CDF ,
mkuu unaongea kweli huyo haelewi , sie wajuvi wa mambo tulijua tu mara baada ya Meela kutolewa kuwa CMI na kupelekwa Mission darfur then Mabeyo acted as CMI Then CMI full thereafter CoS haihitaji degree ebu angalia hapa chini mambo huaje Jeshini
Davis Mwamunyange-
  • Chief of Millitary Intelligence
  • Head of National Services division
  • Chief of Staff
  • Chief of Defense Forces
Venance Mabeyo -
  • Chief of Millitary Intelligence
  • Chief of Staff
  • Chief of Defense forces
 
Back
Top Bottom