WHO IS WHO: Luteni Jenerali Venance Salvatory Mabeyo

View attachment 436344

Huyu kwa sasa (Nov 19, 2016) ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) aliyejaza nafasi iliyoachwa wazi na Luteni Jenerali(mstaafu) Samuel Albert Ndomba.

Natamani kujua historia yake:

Yeye ni nani?
Ametokea wapi hadi kufikia nafasi aliyo nayo?
Atakuwa mrithi wa Mwamunyange?
Ni mzaliwa wa mkoa gani?
Nilifungua haraka haraka nikitegemea kuona CV yake,ila ok.
 
Mabeyo nimemfahamu tangu early 1980s. Tukicheza basketball pale majimaji. Akiwa mlinzi wa late brigadier lupembe. Mabeyo akiwa na nyota 1 tu. Highly discipline na cool sana. MTU wa dini sana. Amenyooka sana
Mtu wa dini zaidi ya BABA JESIKER
 
Huyu alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Military Intelligence kabla hajateuliwa kuwa mnadhimu.

Kwa kifupi ni jasusi mbobezi, kuna kipindi alitaka kupelekwa na JK nchi flani ya Magharibi kuwa Balozi akakataliwa baada ya kushtukiwa kuwa ni jasusi sema haikutangazwa.
Mbona mzee Madafa alikaimu nafasi ya ukurugenzi wa TISS baada ya Othman Rashid kuondolewa na baadae akapewa ubalozi na akapokelewa vizuri tu unataka kusema naye pia hawakujua ni jasusi ndio maana wakampokea?
 
Tanzania ya sasa ni siasa tu,hadi kwenye vyombo vyetu maamuzi ya kisiasa yapo juu.
Ila CV yake ni classfied itoshe kusema hivyo.
Haya bwana nimekuelewa.Nilidhani ni for public consumption.Hata hivyo why it is classified is difficult to understand.Nilidhani our military strength ndiyo ingekuwa classified for obvious reasons.
 
Ulaya wanamuogopa Jasus kutoka
Hatar sana
Hii inawezekana sana kwa kua tz haiweki wazi taarifa za jeshi na za kitengo hata mission yoyot iliywahi kufanyika ila kuna vyama vikigo vimetulia siku mkiletewa historia zao wengi tutashangaa kwa namna tunavyowaona na mambo makubwa yanayofanya katika nchi yetu pendwa Tanzania
 
Ni mtu poa sana,

Niliishi nae pale Upanga mtaa wa Alkhan, gholofa namba 210 toka enzi akiwa nii Luteni Kanali, alikuwa mtu social sana.

Kabla ya kumtambua kama Mnadhimu Mkuu wa Jeshi, nilimtambua kama Baba Nerry au Mjomba wake Annuary na nilipenda kwenda kuangalia TV kwao.

Alikuwa na marafiki kama akina Brig. General German Mrema ambaye alikuwa commanding officer wa Makao Makuu ya Jeshi, Brigadier General Njelekela ambaye kwa sasa ni Mwanasheria Mkuu wa JWTZi, Major General Masebo ambaye kwa sasa ni wa Jeshi, na wengine wengi kama akina Major Mwakifumbwa, Canal Nyabaiga!

Alikuja akapoteaga, nikaja kumwona tena alipokuja Upanga katika msiba wa Kanali Gadiye na hapo niliskia watu wakidai kuwa alikuwa Usalama wa Taifa kitengo cha jeshi... Hiyo ni miaka ya 1990's
Wameomba CV wee ukaelezea ulivyokula vitumbua kwao hahaha Tanzania!!
 
Ni nadra sana n hadi sasa haijatokea Tanzania bado mnadhimu kupanda na kuwa full General awe Mkuu wa Majeshi! Wanapandishwa Maj Gen ndio wanaruka cheo kimoja wanakuwa General na kuwa CDF!!
Alieruka cheo kimoja ni Mabeyo ambae alikuwa Leutenant General. Major General ni mdogo kwa Leutenant General.

Second Leutenant - Leutenant - Captein - Major - Leutenant colonel - Colonel - Brigedier general - Major General - Leutenant General - GENERAL.
 
Ni mtu poa sana,

Niliishi nae pale Upanga mtaa wa Alkhan, gholofa namba 210 toka enzi akiwa nii Luteni Kanali, alikuwa mtu social sana.

Kabla ya kumtambua kama Mnadhimu Mkuu wa Jeshi, nilimtambua kama Baba Nerry au Mjomba wake Annuary na nilipenda kwenda kuangalia TV kwao.

Alikuwa na marafiki kama akina Brig. General German Mrema ambaye alikuwa commanding officer wa Makao Makuu ya Jeshi, Brigadier General Njelekela ambaye kwa sasa ni Mwanasheria Mkuu wa JWTZi, Major General Masebo ambaye kwa sasa ni wa Jeshi, na wengine wengi kama akina Major Mwakifumbwa, Canal Nyabaiga!

Alikuja akapoteaga, nikaja kumwona tena alipokuja Upanga katika msiba wa Kanali Gadiye na hapo niliskia watu wakidai kuwa alikuwa Usalama wa Taifa kitengo cha jeshi... Hiyo ni miaka ya 1990's
Dah mkuu Marehemu Gadiye alifariki akiwa na rank ya Lt col...alikua ofisi moja na mzee wangu Col Nyabaiga na mfahamu haswa wale wadogo zake i hope Col Nsigaye na Col Mungai una wapata
 
Back
Top Bottom