Who is the next target?

Who is the next target?

pepsin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
3,486
Reaction score
6,172
Rais Magufuli anaendelea kutumbua majipu yanayoisababishia hasara nchi kwa namna moja au nyingine.

Baada ya kutumbua majipu TPA, TRA, TAKUKURU etc next target ni upi/yupi ili tupunguze kustuka?

To me CAG is the one maana audit za TPA na TRA lazima zitamgusa kwa namna moja ama nyingine.

Je, wewe mdau unafikiri/natamani nani awe kwenye 18 za mtumbua majipu, Dr.Magufuli?
 
Mashirika ya umma na board zake huko kuna uozo mwingi, pengine ATC inaweza kufufuliwa!
 
Jeshi la polisi lazima nalo limulikwe..........
 
Akipata muda, apite pia anglau hata kuwasalimia tu TANAPA, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi, na PPRA
 
Mh.rais Magufuli anaendelea kutumbua majipu yanayoisababishia hasara nchi kwa namna moja au nyingine.
Baada ya kutumbua majipu TPA,TRA,TAKUKURU etc ,next target ni upi/yupi ili tupunguze kustuka?
To me,CAG is the one maana audit za TPA na TRA lazima zitamgusa kwa namna moja ama nyingine.
Je,wewe mdau unafikiri/natamani nani awe kwenye 18 za mtumbua majipu,Dr.Magufuli?

TPA nasikia ilikuwa haikaguliwi na CAG sina uhakika ila naambiwa walikuwa wanakaguliwa na kampuni ndogo ndogo za ujanja za ukaguzi.Mategemeo yangu NBAA watafuatilia Hao wakaguzi wao pia wa Ndani na wa nje kuangalia hizo kaguzi zao zikoje na wachukue hatua stahiki kwa wahusika
 
ATC ya Shirika la ndege au Chuo cha ufundi Arusha?
Hope Shirika la Ndege.
Mashirika ya umma na board zake huko kuna uozo mwingi, pengine ATC inaweza kufufuliwa!
 
Vipi kuhusu TISS!
Huu ubaridhifu uliofanyika hawakuzembea sehemu kweli?
 
Akipata muda, apite pia anglau hata kuwasalimia tu TANAPA, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi, na PPRA
Mkuu hapo bodi ya mikopo ndio penyewe,nadhani angeifumua kabisa apate watendaji wengine makini zaidi ya hawa wa sasa.Sidhani kama kasi yake wataiweza.
 
Back
Top Bottom