MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,920
- 6,858
My guess! Up next TISS, POLISI, MALIASILI, MAKAMPUNI BINAFSI A WAHINDI (A to Z; Sunflag etc) ambako licha ya vitendo vya kukwepa kodi wahindi n wachina wanagenisha ajira za wazawa na wamewageuza ndugu zetu wazawa kuwa manamba katika nchi yao!
Rais Magufuli anaendelea kutumbua majipu yanayoisababishia hasara nchi kwa namna moja au nyingine.
Baada ya kutumbua majipu TPA, TRA, TAKUKURU etc next target ni upi/yupi ili tupunguze kustuka?
To me CAG is the one maana audit za TPA na TRA lazima zitamgusa kwa namna moja ama nyingine.
Je, wewe mdau unafikiri/natamani nani awe kwenye 18 za mtumbua majipu, Dr.Magufuli?