TheGreatest Of AllTime
Member
- Mar 14, 2025
- 89
- 253
Wewe mtu wa fujo kundi moja na Mcmillan de Maghayo The Mongolian Savage tofauti yenu ni moja wewe dishi Zima wakati yeye ni loose Nut
Mimi sivuti bangi bwashee ni pombe tu .min -me yupo cool ila ukimkuta bange zipo kumkichwa ukimzingua anakuzingua .
Hanaga uchokozi wa kiduwanzi bila sababu za msingi.
Shadeeya : kwa Wanawake namba moja , mstaraabu ,mchangamfu , hanaga mabifu , ugomvi , kujibizana na mtu vibaya wala humkuti kwenye Mada za fujo.
Pascal Mayalla ni hazina ya Jf sijawahi kushudia akimjibu mtu vibaya akimtukana na kumchukia . Yaani hata umtukane na kunishambulia vibaya yeye anatanguliza upole.
Mohamed Said . Hata uje kwa matusi na ukali.yeye ana stick kwenye hoja bila kudeal na wee personally
Selikavu : Mwanadiplomasia Bora wa Jf
Razorblade : Mzee wa kutuliza ghasia.
adriz : hampendi ugomvi ila jinsi utakavyokuja ndivyo atakavyokupokea.
๐ usiniambie Ras
Nimeshakuambia rasi๐ usiniambie Ras
Appreciate sana brother one love...min -me yupo cool ila ukimkuta bange zipo kumkichwa ukimzingua anakuzingua .
Hanaga uchokozi wa kiduwanzi bila sababu za msingi.
Shadeeya : kwa Wanawake namba moja , mstaraabu ,mchangamfu , hanaga mabifu , ugomvi , kujibizana na mtu vibaya wala humkuti kwenye Mada za fujo.
Pascal Mayalla ni hazina ya Jf sijawahi kushudia akimjibu mtu vibaya akimtukana na kumchukia . Yaani hata umtukane na kunishambulia vibaya yeye anatanguliza upole.
Mohamed Said . Hata uje kwa matusi na ukali.yeye ana stick kwenye hoja bila kudeal na wee personally
Selikavu : Mwanadiplomasia Bora wa Jf
Razorblade : Mzee wa kutuliza ghasia.
adriz : hampendi ugomvi ila jinsi utakavyokuja ndivyo atakavyokupokea.
๐Asante sanaNimeshakuambia rasi
Nina fokasi na nini vile?raraa reree hata ukimtukana analike mitusi yako ukafie mbele ๐น๐น๐น
min -me yeye hata akijobolewa na manzi anayempenda hajali anafocus na kupewa kitumbua ๐คฃ๐น๐น
cocastic yeye hata mkimuita shoga anawachekea sio shida zake muhimu anapewa dyudyu na baba tamu wake kwa wakati..!! ๐น
Lamomy ๐
Huyu ni bampa to bampa unavyokuja ndo utakavyopokewa haijalishi wewe ni nani JF ๐น๐น