Huyu dada huwaga thread zake ni utata,kiingereza cha ugoko anasingizia iphone hana muda wa kuangalia spelling.sijui kamsikia mzungu gani huko ndo kakurupuka manake huyu ni mmoja wa waabudu wazungu anadai yeye ni republican
Will do Nat!Angalia"the great pretender "halafu duet yake na Michael jackson
Nyinyi mgoogle who is the best Michael Jackson au Freddie mercury.Tmz Fredy alimzidi Michael Kwenye sealing Hilo nendeni online chekini.mimi nilikuwa nabisha hivyohivyo.nilivyojaribu kusikiliza